Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.
Angeonekana wa maana sana endapo angepinga vitendo vya CHAMA chake cha CHADEMA kujilipua kwa mabomu, kuwavalisha watoto sare za CCM, kuwavalisha watu sare za POLISI na kusingizia serikali na CCM kuwa wao ndo wanatekeleza vitendo vya mauaji wakati ni wao.
 
huyu mama aliwahi kushangilia watanzania kufa mahospitalini, akapeleka kesi ya kisiasa the hague, akajifanya anajua sheria kupingana na Bunge.lakini ndugu zangu mnawajua wanaompatia pesa? mnajua nn malengo yao? huyu mama uraia wake hauko tifauti na kagame.
 
mbona hujaeleweka we jamaaa ulikuwa usingizin nn
 
Ataaibika kama alivoabika kwenye mahakama the Hague. ni mmbeya tu huyu kakalia ulaji tu pale,muda wake umeisha hapo lakini yupo tu kutokana na ulaji. aanze na mahakama za tanzania ndio kwenye balaa kubwa la maangamizi ya nchi hii
Na ndiyo maana safari hii
hawezi tena kwenda the hague kwa vile anajua wazi kuwa hakuna hoja ya
msingi katika hili zidi ya kutumiwa kisiasa. Isitoshe ile waliyopeleka
the hague inasemekana wametolewa nje na kuambiwa haina mashiko.
 
Mkuu una ugomvi wowote na huyu mama , Kama vile kugombea kiwanja , shamba n.k ? Au kuna mahali alikuzibia kufanya uharamia wako ! Kwa mtaalam yeyote wa maandishi atagundua kuwa umesukumwa na chuki kali na ya hali ya juu , pole sana ! naifahamu hali hiyo inapompata mtu
 
Ataaibika kama alivoabika kwenye mahakama the Hague. ni mmbeya tu huyu kakalia ulaji tu pale,muda wake umeisha hapo lakini yupo tu kutokana na ulaji. aanze na mahakama za tanzania ndio kwenye balaa kubwa la maangamizi ya nchi hii

Acha uzushi wewe! uzuzu haukufai acha kudumaza akili yako.
 
huyu mama aliwahi kushangilia watanzania kufa mahospitalini, akapeleka kesi ya kisiasa the hague, akajifanya anajua sheria kupingana na Bunge.lakini ndugu zangu mnawajua wanaompatia pesa? mnajua nn malengo yao? huyu mama uraia wake hauko tifauti na kagame.

"tifauti"!... kweli wewe si raia wa Tz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom