Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.
Mkuu taasisi gani itaendelea kama hakuna driving force hasa ya man power?
BI.SIMBA pale alipo ndio taasisi ya haki za ninadamu.Yeye nabeba taasisi ndio maana ikiyokea taasisi imekwenda mrama kama hivi yeye anakuwa responsible.Pia kumbuka Kijo Bi simba ni mtendaji mkuu ndani ya Taasisi hiyo.

PLZ rudi darasani kasome Organization Theory

nakuwa mzito kujibu post zako since nimegundua kuwa mnalipwa bila kujali kuwa mnaandika point au ugoro.
Pia napenda kujibizana na masalia kwa ID zao halisi ili niwachoreshe vizuri na sio hii unayotumia,
au ni kwasababu ya ile ban.........?
 
Kuhusu Sugu na Pinda,mahakama imeshaamua kuwa Pinda ni kama alivyosema Sugu yaani ni Pambaf...
 
Huyu mama nadhani tunapashwa watanzania kumshukuru maana katika hili anatetea wanyonge ambao ndio wahanga wa tamko la Mheshimiwa, wewe kama hauko kwenye group la wanyonge huwezi kujua athari ya kauli hiyo! ni vizuri ukakaa kimya uache mchakato wa sheria utoe ufafanuzi. Ipo siku nchi hii watawala watakuwa wanafanya watakavyo kama kauli kama hizo zitaachwa bila kuhojiwa kisheria!!!
 
Mleta thread huna misingi kwenye madai yako.Hisia zaidi zinakuongoza badala ya uhalisia.Kama hayo uliyoeleza ni kweli,nini kazi ya vyombo vya dola?
Serikali imeshauriwa waunde tume ya kijaji ili kuchunguza mauaji yanayoleta utata;kwa nini serikali inasita/haitaki?Yaani wateue wenyewe hawa magwiji wa sheria ili kutegua kitendawili cha mauaji haya,wana hofu nini? Mh Pinda amesema tupigwe tu bila kipimo,unafikiri ni sahihi katika nchi inayoongozwa kwa utawala wa kisheria?Nasubiri siku atakapoitwa kwa pilato kujitetea.
Atalia tena.
 
Ulifikiri kabla hujaandika? nikiisema umekurupuka ntakuwa nimekupendelea, ulikuwa unaandika wakati uko sehemu gani? Chooni, kweye bodaboda? CHAMA CHA SIASA? KIPI HICHO? Unasamehewa bure, ni uelewa wako tuu ndio umekufkisha hapo! Pole na uende shule sawa mkuu!

haya bi helen b ........oye
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.

Wewe akili yako na mawazo yako ni ya 'kipumbavu' . Sasa unataka kutuaminisha kuwa pinda asishitakiwe? Pinda alipaswa kupandishwa kizimbani siku nyingi. Unataka kuleta uchochezi hapa ili Bi Simba asifanye kazi yake kwa weredi? Acha umagamba wako hapa, EBO!
 
Hakuna hoja yoyote hapo zaidi ya chuki zako dhidi ya Dr. Hellen Bisimba na propaganda zako chafu tu.

Hellen Bisimba ni kiongozi wa taasisi ya haki za binadamu hivyo kila anachokifanya ni kwa niaba ya taasisi ya haki za binadamu.

Matukio yote uliyoyataja taasisi ya haki za binadamu ilitoa kauli kuyalaani na kutaka hatua madhumuti zichukuliwe dhidi ya wahusika na hata report yao imeyaweka matukio yote.

Hilo la kudai ITV ilisema Muuza magazeti pale Morogoro alipigwa risasi na mtu aliyekuwa kwenye gari nyeupe, huo ni uongo wako mwenyewe. ITV walisema mashuhuda wanasema muuza magazeti aliuwawa na polisi wa FFU waliokuwa wakipiga risasi ovyo na mabomu ya machozi kuwalenga waandamanaji(Video ya habari hiyo ya ITV ninayo)

Hoja ya msingi inabaki pale pale, Pinda amevunja katiba na ni lazima ashtakiwe mahakamani.
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.
acha ubwege unatetea ujinga leo kwa mwenzio kesho kwako,elimu yako haikusaidii unafikiri kima------ kweli ----- ni ----- kheri uwe mpumbafu kuliko -----
 
Dk. Bisimba na taasis anayoiongoza wamefungua Mashtaka kwa tuhuma zenye ushahidi, wewe unayejiita Taswira unazungumzia vitu vya Kufikilika, nadhani una matatizo ya kufikili.
 
Nilifikili mada hii ni ya maana kumbe ni mada isiyo na mashiko na mbaya zaidi hakuna hoja za msingi ni upumbavu unaojaji jambo la msingi na la kihisitoria hapa nchini. bila shaka mleta mada ni jamii ya kina mwigulu nchemba jitu lisilo na uwezo wa kujenga hoja badala yake ni kulopoka hovyo, kamahuna la kuzungumza usiwe unaleta ujinga wako hapa.
 
Heleni Bi Kijo Simba ni mpare wa kuzaliwa,sii mnyarwanda kama unavyodai!Pili sii kila ukiukwaji wa haki za binadamu ushughulikiwe na LHRC,zipo taasisi zingine pia
 
BORA UNGEANDIKA....mavi,mavi,mavi,mavi,au mavi mkojo,mavi mkojo,mavi mkojo kuliko huu uchafu uloandika hapa......KACHUKUE BUKU SABA LUMUMBA.
 
Kitendo cha kuandika kuwa Polisi walisema kuwa yule marehemu muuza magazeti wa morogoro risasi ilitoka kwenye gari nyeupe....imenifanya kuamini kuwa uliyoyaandika ni story za kijiwe cha wanaotumia bidhaa za Idd Azzan.
POLISI WALISEMA MAREHEMU ALIPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom