Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada, naona kama unataka kutupotosha,hebu nenda kajipange upya...Ni kama mtoto wa darasa la pili,kutaka kumfundisha mwanafunzi wa Udaktari(MUHAS) ,somo la Biology!
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.

Huyu na yule Nkya wa Tamwa mbona wote inajulikana kuwa ni pro Chadema na hawathubutu kufunua vinywa vyao kulaani mabaya ya cdm. Lakini, kwani hujui kuwa naye ni wa Kaskazini?
 
unasoma shule gani hiyo ambayo inashindwa kutoa elimu ya kujitambua mwenyewe? suala kibanda ni criminal case, na kama ni chama fulani kinahusika, peleka hizo taarifa serikali au polisi, na serikali husika au polisi watachukua hatua kwani serikali iliopo ni sikivu? au polisi na serikali kwa ujumla wanakipendelea hicho chama husika?
 
unafiki ni nini?

Kutumika na chama cha kisiasa kuna ubaya gani? Na unajuaje kwamba "anatumika" na chama cha siasa, na si kwamba wana malengo sawa na chama hicho?

Mimi sina chama cha siasa, na wala siamini katika "kutumika" na chama cha siasa. Lakini nikikuta chadema wameandaa rally kupinga corruption na kudai transparency zaidi kutoka serikalini, nikajiunga nalo katika hilo, utasema "natumika na chama cha siasa"?

Nani alikwambia huyu ndiye mesiha aliyesubiriwa kukemea mambo yote yahusuyo haki za binadamu? Mambo hayo nyeti wewe umeyafanyia kazi gani? Angalia usimseme mwenzako kwa unafiki huku wewe mwenyewe hujafanya kitu na hivyo hata madai yako ya unafiki yakawa ya kinafiki vile vile.

Did you even bother to google before posting your thread?

polisi wamtosa kibanda

home

akitoa tamko makosa, asipotoa makosa.ukichimama nchale, ukilala nchale.

Kwa nini unataka mtu mmoja ainuke katika kila tukio? Amekuwa mungu wa kihindi?

Unajuaje kama haki za binadamu anazotetea huyu pamoja si pamoja na haki za kibunge za "parliamentary privilege" zinazoruhusu mbunge kujieleza anavyojisikia bila uhuru wa prosecution wakati akifanya kazi zake za kibunge?

Kudhalilishwa kwa mujibu wa nani? Utakaposema wewe kudhalilishwa wengine watasema "kitu bna box".

Utamaduni wa ukondoo wtanzania wa leo tushauchoka. Utamaduni pia hubadilika na wakati.

Oldest trick in the book, ad hominem attacks.unashindwa ku attack hoja unaenda ku attack mtu.

Wananchi wapenda haki wana wajibu wa kupinga sheria dhalimu, civil disobedience goes back to thoreau, gandhi and martin luther king jr. Sheria si lazima iwe haki, na wananchi wana wajibu wa kuzipinga na kuzibadilisha sheria dhalimu, na pinda si mtafsiri wa sheria katika nchi inayofuata sheria na mihimili mitatu ya serikali yaani bunge, mahakama na utendaji, kwa nini ajivishe kazi ya kutafsiri sheria wakati mahakama zipo?

Utajuaje mtu hajatii sheria kabla tukio halijatokea?

Hata wadhalimu wa kiingereza walipokuwa wanawapiga risasi waandamanaji wa kihindi waliokuwa wanadai uhuru wao, waliwapiga risasi kwa kisingizio cha "kuvunja sheria". Sheria kwa mtu mmoja inaweza kuwa ukandamizaji kwa wengine, kwa nini tukubali tu bila challenge?

Ad hominem attacks all over again. Inaoesha huna hoja. Hatuhitaji kutumwa na kagame kuona kwamba serikali ya kikwete na waziri wake mkuu pinda ina boogie step on the daily.

Sasa kiranga naye katumwa na kagame?

i like this. Bravo mkuu. Big up nyingi nyingi x 100
 
Nakumbuka yule waziri mkuu, yule aliekufa pale Morogoro. Alikua haongei sana, lakini alikuwa mtu wa watu kweli. Alikufa akiwa mbichi sana, lilikuwa pigo kubwa sana. kwangu.

Edward Moringe Sokoine (You are Blessed Where you are). Can you see us, can you see what is happening now in Tanzania.
 
Uliyeweka tatarifa hii yawezekana hujui,na hutaki kujua kabisa...Huyu mama kwa kweli anastahili sifa zote hasa ktk kusimamia haki bila woga....Hebu tofautisha kazi za kiumbea na professional work,yeye anafanya professional work,mbona umoja wa wanasheria wa Tanganyika umemuunga mkono,ucjali hata kama ww ni darasa la saba kama una nia ya kujifunza waweza jifunza,,,
 
Mleta uzi anaonesha taswira sahihi ya magamba! wamefanya unafiki kwa mda mlefu na ilikuwa vigumu kuhutambua lakini kutokana na maendeleo ya mawasiliano sasa wako uchi!

Hivi ktk nchi inayoongozwa na utawala wa sheria, zaidi 'serikali yenu sikivu' Dr Hellen anakosa gani? Kutimiza wajibu wake ndo aonekane anatumika na chama cha siasa? Hata kama angetumika na chama cha siasa akatetea kwa ukika haki ya mtanzania tatizo liko wapi?

Sasa mnazusha utaifa na ukabila wake mpate kumnyamazisha! Mlifanya hivyo miaka iliyopita this time around you will not. I appeal to my living God that whoever plays politicsl game for his/her personal gains be severely punished before 2014 in anyway possible! Hatuwezi kuendeleza upuuzi wa kisiasa kukudimiza watanzania.

Umefurahi kuona polisi wanampiga mwandishi channel 10 akiwa kazini? Umejiuliza ni kwa nini wafanye hivyo? Sijui kutukana ila kama kuwatakaofanya hivyo sitakuonea huruma. Tumechoka na upindishaji wa ukweli kwa mwanvuri wa siasa.
 
Chanzo cha uzi huu ( taswira ) hakiaminiki , naufunga rasmi uzi huu .
 
huyu na yule nkya wa tamwa mbona wote inajulikana kuwa ni pro chadema na hawathubutu kufunua vinywa vyao kulaani mabaya ya cdm. Lakini, kwani hujui kuwa naye ni wa kaskazini?

mnahaha kweli.mara wa rwanda, mara kaskazini.pinda kashikwa pabaya,akome.
 
Kagame kaingiaje hapa mkuu..kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba LHRC WANATUMIWA NA KAGAME? Hizi ni akili za samaki. l
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.
 
Mkuu hajui kama mawakili wa Tanganyika ni mang'uli??na wako zaidi ya 4000!
Uliyeweka tatarifa hii yawezekana hujui,na hutaki kujua kabisa...Huyu mama kwa kweli anastahili sifa zote hasa ktk kusimamia haki bila woga....Hebu tofautisha kazi za kiumbea na professional work,yeye anafanya professional work,mbona umoja wa wanasheria wa Tanganyika umemuunga mkono,ucjali hata kama ww ni darasa la saba kama una nia ya kujifunza waweza jifunza,,,
 
Inawezekana neno unafiki linatafsiri tofauti na ninayoijua mimi, Bisimba mnafiki? Mh, mnafiki unaweza hadi kumshitaki PM? Hakika natakiwa kua na kumushi hapa home! Anyway, mara baada ya mauaji ya Mwangosi na yule kijana wa Morogoro, kituo anachokiongoza huyu "Mnafiki" wali file case na ikaenda The Hague.
 
jf bwana ukiambiwa ukweli juu ya utumbo uliouleta unasema tatizo chadema kumbe tatizo no huko ccm;hamkawii kuja kutukana kwa kukosa hoja km jamaa yenu aliyetoa Mapovu Lisa chadema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom