mtetezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Nyerere alikuwa Mtetezi wa Wanawake, aliandika Kitabu Hakijachapishwa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda aliandika kitabu cha kutetea wanawake ingawa kitabu hicho hakijachapishwa hadi amefariki. Wasira ameyasema hayo leo Februari...
  2. B

    JamiiForums Tanzania UNEP Yamteua Rapa wa Tanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia

    December 2025 UNEP Yamteua Mwanamuziki wa Rapa mTanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia by Leo Muzivoreva Rapa mkali Frida Amani Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP, limemteua msanii wa hip hop kutoka Tanzania Frida Amani kama Mtetezi wake wa kwanza...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Kwanza Kwa Mr. Ebbo: Labda leo Wamasai wangepata mtetezi, shida wanazopitia sio, waliitwa mpaka "waKenya", Huu ndiyo UTU???!!!

    Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine. Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Haki za Wasichana Duniani na Mshindi wa Tuzo za Nobel MALALA yuko Nchini, Serikali Iko bize kuhudhuria Happy Birthday za Wasanii

    Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua. Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
  5. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viola Mtetezi, asema anatiki Oktoba uchaguzi mkuu 2025

    Wana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali ! Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini. Mwisho ni haki yake kuchagua upande...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Viola mtetezi kachemka au amepatia?

    Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni. Lakini siku za hivi karibuni Viola amekuwa akiweka maudhui ya No Reforms No Election kwenye akaunti zake. Wapo baadhi ya wafuasi wake...
  7. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania Kama Gwajima Ndiye Mtetezi wa Haki, Basi Fisi Ni Mlinzi wa Kondoo

    Katika dunia ya hoja na mantiki, ni kweli kwamba ujumbe ni muhimu kuliko mjumbe. Lakini je, kila mjumbe anastahili jukwaa? Mbona si kila njiwa huleta barua njema; wapo wanaoruka wakiwa wamebeba hadaa na uzushi. Gwajima ni baba wa ahadi zilizoharibika kabla ya kuzaliwa. Aliwahadaa wananchi wa...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Polisi Wanatetewa Haki Zao Lakini Wanaenda Kumkamata Mtetezi Wao

    Polisi uitwa Jeshi la kulinda watu na mali zao, lakini jeshi letu hili la polisi limekuwa ni jeshi la kulinda wanasiasa na familia zao. Hakuna watu nchi hii wanaogopa kupoteza kazi kama polisi na walimu, hususani polisi ndio kabisaa na wengi maisha yao ni Duni. Polisi ndio taaluma pekee...
  9. Tindikali

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza Mwenyekiti Lissu aiita Tanganyika Tanganyika. Tumepata mtetezi!

    Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully. Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu amesema litakutana na agenda ya kumchagua Party Secretary na manaibu wake, wa Zanzibar na Tanganyika...
  10. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Bashar Assad

    Mzuka wanajamvi! Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion. Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Rais samia mtetezi wa wanyonge,Msikivu

    Rais samia kweli ni mtetezi wa wanyonge na msikivu kweli kweli baada ya kusikia kilio kwa vyama vya upinzani ameamua yaishe na kuamua kuwaagiza wagombea wa upinzani waliokatwa mara moja warudishwe kwenye uchaguzi ili wachinjwe na wananchi wenyewe kwa Rais huyu wapinzani hamtaambulia chochote...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mtetezi wenu huyu hapa. Kataa Ndoa msipite hapa

    Nadhani kawawakilisha vizuri?.
  14. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Ndicho nachoweza kusema, machozi ya Watanzania kuhusu kero mbalimbali kwa sasa hayana mtu wa kuyafuta. Sio watawala, sio wapinzani, sio taasisi za kidini Wala yeyote yule. Watanzania tunapigwa bakora za ukosefu wa maji ya uhakika,kupanda kwa gharama za maisha(sukari) kupanda kwa bei za vifurushi...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Aliyemdhalilisha Chongolo Kinondoni leo kawa Mtetezi wake!

    Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC. Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa wasafirishaji amepandisha nauli, mtetezi wa wasafiri mbona kimya?

    Kupanda kwa nauli za daladala na mabasi ya mikoani kungeendana na maboresho ya huduma husika. Mathalani miundombinu ya stendi, mfano sehemu za kupumzika abiria, muda wa kuondoka mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari, ubora wa vyombo vya usafiri na unadhifu wa watoa huduma nakadhalika na...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Fedha na Mungu ndiyo mtetezi wako, jitahidi utafute kwa bidii hivyo vitu viwili

    • Siku ukikamatwa kwa kosa la kuzurura mjini hapo mtetezi wako ni Mungu na fedha tu, vinginevyo utapewa hata kesi ya mauaji. • Siku ukishikwa na ugonjwa barabara hapo mtetezi wako ni Mungu na pesa tu. • Siku ukifukuzwa kazi ndipo utajua kuwa mtetezi wako ni pesa na Mungu tu. • Siku...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

    Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
  19. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Viongozi au Wananchi ?

    Kuna jambo sijafurahishwa kama Mwananchi na Mlipa Kodi...; Jana Rais ni kama ametoa excuse ya hii Crisis Kwamba hakuna Mvua na wanafanya maintenance - Hapo ni kama anawatetea watendaji na kuwapa go-ahead ya muendelezo wa kuwa mediocre.... Ningeona la maana kama angetoa maelezo kwamba hii hali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge kweli au alikuwa na lengo la kuwafanya watanzania wote wawe wanyonge?

    Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara. Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa...
Back
Top Bottom