Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,865
- 5,967
Nafuta na kukemea maneno mabaya aliyoyatamka Kwa kusali kimya kimya
Kuna roho zinayavaa hayo maneno
Kuna roho zinayavaa hayo maneno
Sijamfanya chochote mkewe ila nimesema tu kuwa dawa yake inachemka. Good thing I don't dip in wrong pussies, one day he will pay.Kwa hio mkuu na wewe unamlipia kwa mkewe?
Me ntacheka tu na kuenda zangu. maana nnauhakika na me nitakua nimelewa, ya nini marumbano?Hivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel?
Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza kukutukana unajisikiaje?
Samahani kwa wale wanaokunywa kistaarabu, namaanisha sizungumzii wewe unaekunywa bia 3/4 na kwenda kulala, hapa namzungumzia yule ambae analala na makreti ya bia yeye chai yake ni pombe mlo wa mchana pombe chakula cha usiku pombe na anakunywa mpaka Visungura sijuo Kick nini na upuuzi mwingine.
Ana hela mkuu pombe anazinunua mwenyewe anakunywa mpaka anakunya yaan anajinyea kabisa hela zake pombe zakeMchukue siku moja kamleweshe kuwa naye rafiki,mnunulie tena Mara pili ila asikuzoee sana.akiwa Tu rafiki yako akijua Una mthamini Kwenye pombe hatakutukana tena..km unampenda na unamuonea huruma
Ongea naye asubuhi.Achana nae,kama unamjua kesho mfate umueleze atakuomba msamaha.sio yeye yule
Ukiwa unaoga kichaa akapita na nguo zako humkimbizi. Unatafuta namna ya kujisitiri. Ukimkimbiza wakati yeye amevaa nguo na wewe uko uchi watu watajua wewe ndiye umechanganyikiwa. Na kama wote hamna nguo watu watagawanyika makundi mawili. 1. Watajua ni vichaa wawili wanakimbizana. 2 watajua wewe ni kichaa ambaye umemvamia mwenzako akiwa anaoga hivyo anakimbia kujiokoa usije ukamdhuru. Yaani vyovyote itakavyokuwa wewe bado utaonekana ni kichaa tu.Hivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel?
Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza kukutukana unajisikiaje?
Samahani kwa wale wanaokunywa kistaarabu, namaanisha sizungumzii wewe unaekunywa bia 3/4 na kwenda kulala, hapa namzungumzia yule ambae analala na makreti ya bia yeye chai yake ni pombe mlo wa mchana pombe chakula cha usiku pombe na anakunywa mpaka Visungura sijuo Kick nini na upuuzi mwingine.
Mpe vitasa hadi umng'oe jino.Umeuliza swali la ndani mkuu, ila niambie kwanza mtu km huyu unamfanyaje?
Sasa si wote mtakuwa walevi na wajinga tena wewe mzima ndio utaonekana mpuuzi zaidi.Sasa mlevi unahangaika nae wa nini? Akikupa mitusi nae mchane tu kwa mitusi ngoma droo.
Sasa mtu usiyeweza kumpiga unamalizaje hasira zako. Mimi nikikupa mtusi mmoja ni sawa na nimekupiga ngumi ya pua. Hakuna mtu amewahi kufa kwa kutukanwa.Sasa si wote mtakuwa walevi na wajinga tena wewe mzima ndio utaonekana mpuuzi zaidi.