Unafanyaje unapotukanwa na mlevi?

Unafanyaje unapotukanwa na mlevi?

Siku nyingine akilewa,nendeni mkamlaze makaburini,akiamka asubuhi akajikuta huko,hatorudia tena kulewa kupita kiasi,

Akirudia tena kulewa,fanyeni mpango mkamlaze mochwari mpaka pombe zimtoke,akijikuta huko,hatolewa tena.
Mkuu sio mtu wa kufanywa hivyo, ila nashukuru kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom