unafanya nini saiv?

Daslaam!
Yaani nikimaliza sharubu, then kuuzunguka Mnara!
Ushan'fahamu?

niwhakufahamu,
usisahau kupaka aftershave au poda au spirit kuzuia vipele.....

By the way wifi anafanya nini? Ilipaswa akunyoe..............
 
Hapo utakua unakaba penati !
Na beki3 afanye job gani ?
Kuliwa ganji nw dayz hakukwepeki !
Ukikwepa huku utaliwa kule!

hahahahaha....
Huwa naenda kwenda mwenyewe,
nanunua vitu vya kutosha wiki mbili
na inakuwa rahisi kumanage
ukimuachia beki tatu utakuja kununa buuuuuuuure.......
 
niwhakufahamu,
usisahau kupaka aftershave au poda au spirit kuzuia vipele.....

By the way wifi anafanya nini? Ilipaswa akunyoe..............

Tatizo lenu mkishaizoea ofisi perfomance hushuka always! Nae ndiyo keshaizoea!
Mpaka pakisikika fununu kuna kidumu kinaelekea ku'attack Ikulu yake ndo perfomance huiushwa.
Afu kule kwenye uzi wa Pakajimy "usafiri kafiri" kuna swali langu umelikwepa!
Nenda ukajibu acha janjajanja.
 
Nipo naangalia filamu ya kinaijeria. Ndani kuna yule jamaa aliye kwenye avatar ya Bujibuji, ana vituko huyo hivi anaitwa nani?
 
Last edited by a moderator:
Madame B umenipa raha leo eti au unamuogopa ...ila kuna wababa wengine bandidu hata alieje halikusaidii tena anasema ebu mnyamazishe huyo mtoto mimi najaribu kulala hapa

We Patachimbika hapo bila Jembe.
Yani ye alale mimi nim-bembeleze mtoto?
Ye akimwaga Mboga me namwaga Ugali.
Akileta Ukauzu na Ubandidu wake,namwachia mto o,navaa naenda zangu Club.
Najua nikirudi Asubuhi atakuwa Amenyooka.
Na akileta za kuleta,Tunapiga Mstari Kati...
Tutatwanganajeee..!!!
 
me ndo nimeamka, nataka ntoke zangu,mning'inio umeisha. unafanya nin wewe?
 
Back
Top Bottom