unafanya nini saiv?

Hahahaaa muuza ndizi? Hahahaaa Bishanga leo yuko soko la Kimara stop ova

Mmh! yule sasa hivi biashara yake imezungukwa na vitoto anavirubuni atavipeleka sabasaba.huyu si wa kutafutwa leo kalala huku kesho kaamkia kule wazani mvua vile
 
Last edited by a moderator:
Mmh! yule sasa hivi biashara yake imezungukwa na vitoto anavirubuni atavipeleka sabasaba.huyu si wa kutafutwa leo kalala huku kesho kaamkia kule wazani mvua vile
Hahahahahaaaaa
Ndio kidume mwenyewe lol
Hujamuona tangu jana najua ushammiss sana aisee lol
Walikuwa na wazee wenzake kule sabasaba kama ukiweza kwenda utanambia nikwambie yuko banda gani ukamsalimie
 
Andaa!
Bt refar theory na physical hua ni miamala tofauti !
Usijejidanganya u'mahiri wa darasani thn field uka'boil !

jaman Judgement mbona kama unataka kuninyima hicho kibarua? Mwenzio nina uzoefu wa miaka 5,we nipatie ajira utaona.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom