unafanya nini saiv?

unafanya nini saiv?

kiukweli ni majukumu, ndo maana baadhi ya huduma hupunguzwa, imagine unakuwa wa kwanza kuamka kuhakikisha watoto na mume wamekunywa chai, wana nguo sahihi za kuvaa, wanaobaki watakuka nini asbh, mchana, jioni mtakula nini, bado hujaangalia kuku, hujakusanya biashara, then uende kazini, jioni upitie biashara, urudi nyumbani upike, umuandalie mume na watoto msosi, usimamie mambo ya hapa na pale, umpe hubby haki yake, bado umnyoe.... Loh......


Acha nikaicheki hiyo thread....

Analysis ya kiutu uzima!
 
shostito hivi hujamgundua? Erickb52 akitutaja mm na ww lazma aweke na jina la

wife wake ili kupotezea. ww toka tulimpa mavituz jamaa anashindwa kusahau hadi

leo kazi kututaja taja. atajibeba am telling u, na sie tusimpe tena mamito.
Mi simo
mtajibeba mwaka huu
Sikamatiki tena Erotica kwanza mnanizeesha tu mtoto wa watu
 
Last edited by a moderator:
just home najiandaa, nataka kwenda movies!
 
hahaaaaa ungekua umetua ungahangaika na sisi? Hunywi maji hulali huli unamuwaza Erotica na BADILI TABIA....
Chezeya siye....
Na hatukupi tena....
Utaisoma namba......
Tena uache kutu-pm mashairi yako kwenye



Hata uwe moto wa kifuu poa tu...
Nibora niungue na huo moto wenu na BADILI TABIA ila sio wa Amyner
Yan mi pale ndio nimetua makoro...yangu sitaki kokoro
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaa ungekua umetua ungahangaika na sisi? Hunywi maji hulali huli unamuwaza Erotica na BADILI TABIA....
Chezeya siye....
Na hatukupi tena....
Utaisoma namba......
Tena uache kutu-pm mashairi yako kwenye
Hehehee acha utani basi aisee
Nilikuwa nawatania tu
 
Last edited by a moderator:
Leo kama kawa nipo mzigoni but mning'inio unanisumbua i wish nitoroke nirudi zangu home kha! hii ndo tabu ya kuajiriwa... wandugu hebu nipeni maujuzi ya kutoroka walau nikapunguze huu mning'inio lol!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom