unafanya nini saiv?

unafanya nini saiv?

Si umpe Baba yake am-bembeleze we ulale?
Au unamuogopa, Shauriro....!!!
Haogopwi Mtu hapa.
Mtu chake Madame B
Baba hawezi kumpa mtoto mapenzi km mama na ktk hali km hii hata mtoto anapendelea kwa mama zaidi kuliko baba!
Hivi Kijino ni mama?
 
Last edited by a moderator:
me ndo naingia home toka mkesha, naenda zangu kulala. .. ..
 
bado nipo kitandani na leo sabasaba wacha nilale mpaka saa tano ndio mambo mengine yatafuataa
 
bado nipo kitandani na leo sabasaba wacha nilale mpaka saa tano ndio mambo mengine yatafuataa
Halafu nimesahau kuwa leo ni sabasaba lol
Nilikuwa najiandaa kwenda bank duh
 
Mtu chake Madame B
Baba hawezi kumpa mtoto mapenzi km mama na ktk hali km hii hata mtoto anapendelea kwa mama zaidi kuliko baba!
Hivi Kijino ni mama?

Nahs atakuwa SHE,
Japo cna uhakika.
Maana Post anazochangia ni mwendo wa 'Nam-bembeleza mtoto,Namnywesha Maziwa' n.k
Vp Mzima lakini Erickb52'
 
Last edited by a moderator:
Si umpe Baba yake am-bembeleze we ulale?
Au unamuogopa, Shauriro....!!!
Haogopwi Mtu hapa.
Madame B umenipa raha leo eti au unamuogopa ...ila kuna wababa wengine bandidu hata alieje halikusaidii tena anasema ebu mnyamazishe huyo mtoto mimi najaribu kulala hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom