CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hebu nambie we mwanachit chat unafanya nini saiv? me ndo kwanza naenda zangu mkesha kanisani!!!!! we je?
nipo tu on bed halafu hamna usingizi
kuna ibada za usiku nini pande hizopole, c ndo twaanza mapambio. karb
mi nipo zangu kwa bed..nawaza mambo yangu huku naperuuuuz ndan ya jf..
leo kuna mkesha wa kitu gani? au ndio mambo ya baba mchungaji
mi nipo zangu kwa bed..nawaza mambo yangu huku naperuuuuz ndan ya jf..
leo mkesha upo level 8,karb
nipo tu on bed halafu hamna usingizi
Me nambembeleza dogo anaumwa, mana analia balaa, so ucngizi kwishney