Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,150
- 2,924
Acha ujinga wewe kutujumlisha na sisi, kama unampemda ni wewe na familia yako pimbi jike weweKumbe huyu nae ni chawa,leo ndo nimeelewa.
Acha ujinga wewe kutujumlisha na sisi, kama unampemda ni wewe na familia yako pimbi jike weweKumbe huyu nae ni chawa,leo ndo nimeelewa.
Unamkubali wewe na familia yako ya mambuzi.
Ona hili lichawa naloRais Samia anapendwa na kukubalika na mamillioni ya watanzania kwa sababu amekidhi matarajio ya watanzania na kukata kiu waliyokuwa nayo juu ya aina ya kiongozi waliyekuwa wanamuhitaji. Kwa ufupi Mama yetu mpendwa na kipenzi cha watanzania ni jibu na jawabu kwa mahitaji ya watanzania.
Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hadi 2030,Ndio tutaweka kituo na kuangalia tufanye nini sasa.Samia amebakiwa na miezi michache sana kabla ya kufurushwa, tafuta namna ya kujikimu, angalia Musiba anavyoteseka baada ya Jiwe kufa kizembe
Huyu ni kunguni, tena wa muda mrefu.Kumbe huyu nae ni chawa,leo ndo nimeelewa.
Changu kina akiliJiheshimu.
#kataamachawa
#kataachamachamambuzi
#2050ccmhaitokiwepo
kwamba ati mihemko ina faida au kwamba itatize Dr Samia Suluhu Hassan kuikalia ikulu kwa ngwe ya pili ijayo?🐒Samia amebakiwa na miezi michache sana kabla ya kufurushwa, tafuta namna ya kujikimu, angalia Musiba anavyoteseka baada ya Jiwe kufa kizembe
Tunampenda sababu ya juisi na madafu ya ikuluni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili Tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?
au,
ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya waTanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji n.k?
au
ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?
au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo waTanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?
kwa maoni yako,
unadhani ni kwanini Dr. Samia Suluhu Hassana, rais, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?