Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Usipende ubishi wa kijinga sunni na shia hawapatani kabisa hilo liko wazi na kila mtu anajua
kitu chenyewe kinacho fanya hawapatani hukijui una kazaniatu hawapatani weka wazi tukueleweshe
 
Kama hakuna basi we endelea kuamin hakuna lakin ipo kwanin tuchoshane umeshatumiwa chain Mara Zaid ya moja unataka Tena utumiwe punguza kukariri hayo majuzuu
Sasa kama ipo si uiweke ? Hakuna chain yoyote mliyoiandika juu ya uandishi wa vitabu vyenu.

Chain mliyo jaribu kuiweka ni Ile ya ukoo wa Yesu na yenyewe mmeshindwa kuitolea maelezo.
 
Unakubali kuwa Muhammad alikuwa hajui kusoma Wala kuandikwa😊
Kwa kiswahili mtu asiyejua kusoma Wala kuandikwa ni mbumbumbu. Mtu huyu hawezi kuwa na uwezo wa kushika mambo makubwa hata kidogo

Unajua maana ya plagiarism? Kuna maandiko yalikuwepo aje mtu na maandiko yanayofanana na Yale yaliyokuwepo ndio maana ya plagiarism. Hata waarabu scholars wanakubali Biblia ilianza. Ila wabongo kwa ubishi🤣🤣🤣
Naposema kichwa mchunga ujue ni haki yenu. Onyesha wapi alicopy ? Mtu ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika.

Hivyo vitu vilikuwepo wapi mpaka akavicopy ?
 
Unakubali kuwa Muhammad alikuwa hajui kusoma Wala kuandikwa[emoji4]
Kwa kiswahili mtu asiyejua kusoma Wala kuandikwa ni mbumbumbu. Mtu huyu hawezi kuwa na uwezo wa kushika mambo makubwa hata kidogo

Unajua maana ya plagiarism? Kuna maandiko yalikuwepo aje mtu na maandiko yanayofanana na Yale yaliyokuwepo ndio maana ya plagiarism. Hata waarabu scholars wanakubali Biblia ilianza. Ila wabongo kwa ubishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa bhana[emoji23], una umri gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ipo si uiweke ? Hakuna chain yoyote mliyoiandika juu ya uandishi wa vitabu vyenu.

Chain mliyo jaribu kuiweka ni Ile ya ukoo wa Yesu na yenyewe mmeshindwa kuitolea maelezo.
Wewe endelea kuamin unachoamin na mim niendelee kuamin nachoamin tusichoshane Kuna mambo mengi ya kufanya kuliko kupoteza mda kukuelewesha jambo hilo hilo Mara kumi kumi
 
Unachonishangaza ni kuwa Taurati na Zaburi ilitoka kwa wayahudi kabla hata Quran haijaja. Kwa nini Quran iwe na historia ambayo iliaminika na wayahudi miaka mingi sana. .
Sasa kama ipo si uiweke ? Hakuna chain yoyote mliyoiandika juu ya uandishi wa vitabu vyenu.

Chain mliyo jaribu kuiweka ni Ile ya ukoo wa Yesu na yenyewe mmeshindwa kuitolea maelezo.
 
Ukienda Zanzibar, Mombasa, ukanda wote huu wa pwani mashoga kibao japokua waislamu ni 90% shida ni nin
Sawa inawezekana upo sahihi sikupingi hata huko uarabuni wako ila hawalazimishi mtu mwingine awe shoga au kuonyesha hadharani kama wanavyofanya wakristo waarabu na sehemu zote ulizozitaja wanafanya kwa starehe zao sasa nyinyi mna support na kulazimisha watu waoane ndo wapewe msaada na wengine wanafungisha kanisani we unaona lipo sawa hilo kemeeni hata kidogo basi muokoe kizazi kijacho sio hii vita mnawaachia waislamu peke yao kwenye league pale uingereza ma team captain wanavaa vitambaa vya unahodha vinavyosapoti ushoga hayo mambo hakuna nchi za kiarabu abadan yesu ndo aliwaambia hvyo?
 
Mim mbona mkristo na sijawah lazimishwa kuwa shoga, unajua unaongea pumba sana Tanzania hakuna mtu aliyelazimishwa kuwa shoga ndo nimesikia kwako

Hata ukienda marekani au inchi yeyote dunian hakuna inchi inayolazimisha watu kuwa mashoga yaani ndo nasikia kwako kwamba Kuna watu wanalazimishwa kuwa mashoga

Nenda Zanzibar Kuna mashehe kibao wamewalawiti watoto wa madrasa huwez sema uislamu ndo umewatuma sio kweli, same kwa mapadre huwez sema kanisa limewatuma hizo ni tabia zoo, unavyosema watu wanalazimishwa kuwa mashoga ndo nasikia kwako
 
Mwambie dini inafuata maandiko je maandiko yanaruhusu ushoga?
Ushoga ni tabia ya mtu
Mimi naamini mtu akiishiwa hoja analeta kashfa

Mim mbona mkristo na sijawah lazimishwa kuwa shoga, unajua unaongea pumba sana Tanzania hakuna mtu aliyelazimishwa kuwa shoga ndo nimesikia kwako

Hata ukienda marekani au inchi yeyote dunian hakuna inchi inayolazimisha watu kuwa mashoga yaani ndo nasikia kwako kwamba Kuna watu wanalazimishwa kuwa mashoga

Nenda Zanzibar Kuna mashehe kibao wamewalawiti watoto wa madrasa huwez sema uislamu ndo umewatuma sio kweli, same kwa mapadre huwez sema kanisa limewatuma hizo ni tabia zoo, unavyosema watu wanalazimishwa kuwa mashoga ndo nasikia kkwak
 
Kanisa ni Nyumba ya Ibada ya Wakristo. Wakristo siyo wafuasi wa Yesu, wafuasi wa Yesu waliitwa Nasara. Ila nyinyi ni wafuasi wa Paulo na ndiyo mnatumia makanisa kuabudia.
Acha uzushi ,hiyo sio maana ya Kanisa

Kama hujui kitu usiongope

Neno “kanisa” maana ya asili yatoka kwa neno la Kiyunani ekklesia lililo na maana ya “kusanyiko” au “walioitwa.” Maana ya asili ya “kanisa” sio ile ya jengo, bali ni watu.
 
Back
Top Bottom