Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Kakaa manabii waliopewa vitabu ni wanne.zaburi ya daudi,taurati ya Musa,INJILI YA YESU.NA QURAN YA MUHAMMAD.ninyi biblia mmeitoa wapi?na biblia ilikuja baaada ya yesu kuondoka.lakini Quran Muhammad alipewa mwenyewe kuanzia aya ya 1 mpaka ya mwisho.na baada ya kukamilika ikapigwa lock .HAKUNA aya kuingia Wala kutoka katika Quran.

Mimi zaman nlikua muislam vzr tu ila ukisoma historia za bible zote zinekuja kutokea kwenye quran na hao watu unao sema ww wameandika bible akat yesu hayupo soma kitab cha muda mrefu zaid dunian pia quran imecopi utamadun wa uislam za zaman zaid ambao upo iran baadh ya story muhammad alizo zitoa kwenye uislam huo wa zaman n njia nyembamba sku ya kiama nyingine alicopy suala la mungu mmoja
 
Biblia haijawahi kuitangulia Qur'aan acha uongo na ujinga. Taurati, Zaburi, Injili hivi vitabu ndivyo vilivyo itangulia Qur'aan na si Biblia. Qur'aan ipo hata Biblia ilikuwa si yenye kutajika.

Sasa kama taurat na zaburi kwenye bible zmeandikwa mwaka gan na kwenye quran mwaka gan tukukamate
 
Tunangojea pepo yenye mito ya tungi na mabikira 70,sasa Kama mshaanza kutumia mkongo sijui huko itakuwaje
 
Hoja yako ya kitoto sana Haina mashiko. Ila vitabu vya taurati ambavyo vilianza kuwa kwenye Judaism, ikafata Biblia na mwisho vikaja nukuliwa na Quran. Sasa nikulize ukiandika wewe?

Mpaka Muhammad alivyonukuuu mbona tayari vilikuw vimerekodiwa kwenyw ancient tablets. .
bibilia haitambuliki mkuu. nikitabu kilicho andikwa na wazungu matapeli
 
Ukiambia yule nabii na wanafunzi wake alikuwa mtu wa tungi usiwe mkali
 
Sasa kama taurat na zaburi kwenye bible zmeandikwa mwaka gan na kwenye quran mwaka gan tukukamate
bibilia nikitabu kilicho chakachuliwa. usishangae kuona vitabu hivyo vimeandikwa humo
 
bibilia haitambuliki mkuu. nikitabu kilicho andikwa na wazungu matapeli
Tatizo la watu wanaoamini Quran lazima wa discredit Bible. Lakin unachosahau kwenye Bible Kuna Zaburi, Taurati, Injili ambavyo ni vitabu viliandikwa na vingine vimepatikana kwenye mapango vimeandikwa long time ago. .

Unataka kusema kuwa havikuandikwa wakati hata historia ya vitabu vingine inakubali. Nikupe mfano, je wana wa Israel hawakutawaliw Egypt? Wewe ndo unapinga

Historia ukiangalia ya vita, kuhama normadic life, kuishi utumwani, nk viliandikwa as they happened. Sasa wewe unapinga m. Kuanzia vitabu vya Isaya, Daniel, Taurati, Nehemiah, Zachariah, Yeremia nk ni viliandikwa miaka mingi sana na wewe unatakiwa ulifahamu hivyo. Kuna tablets nadhan za Josephine na ushahidi kibao kuwa matukio yalirekodiwa wewe unabisha. .

Quran ilihidadhiwa kichwani ndo iliyochujwa ikaja andikwa miaka ya baadae baada ya wao kuona Kila mtu ana recite Cha kwakee🤣 hata ukiwaambia watu mia kuwa shiken hili lazima waongeze walishtuka mapema🤣🤣🤣
 
bibilia nikitabu kilicho chakachuliwa. usishangae kuona vitabu hivyo vimeandikwa humo
Kilichakuliwa na nani mbona una ubishi wa kitoto sana. Ukristu ilikuwepo miaka mingi kabla ya Islamic. Bisha tu unenepe🤣
 
Kilichakuliwa na nani mbona una ubishi wa kitoto sana. Ukristu ilikuwepo miaka mingi kabla ya Islamic. Bisha tu unenepe🤣
kitabu kime chakachuliwa hicho mungu hakushusha bibilia Bali imeandikwa nawazungu
 
kitabu kime chakachuliwa hicho mungu hakushusha bibilia Bali imeandikwa nawazungu
Hata Quran haikusushwa na mungu kupitia Muhammad alichukua uongo kwa wazungu walioandika Biblia.

Kwa sababu kabla hata Biblia haijaliwepo wayahudi walikuwa na maandiko yako aka Judaism scriptures. Bible ime share vitu vingi kutoka Judaism. Na kingine haikuandikwa na wazungu hata kidogo acha kukariri. Wazungu walipokea maandiko kama wewe ulivyopokea Quran toka uarabuni. Aliyekuambia wazungu walioandika Bible ni nani?
 
kitabu kime chakachuliwa hicho mungu hakushusha bibilia Bali imeandikwa nawazungu

More examples of extra-Biblical confirmation of Biblical events​

 
(Mat 13:53-58; Marko 6:1-6)
16Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa sauti. 17Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa:
18“Roho wa Bwana yu juu yangu,
kwani ameniweka wakfu
niwaletee maskini Habari Njema.
Amenituma niwatangazie mateka uhuru wao,
na vipofu watapata kuona tena;
amenituma niwakomboe wanaoonewa,
19na kutangaza mwaka wa neema ya Bwana.”
20Baada ya kusoma, akafunga kile kitabu, akampa mtumishi, kisha akaketi; watu wote wakamkodolea macho. 21Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.”
Haya maandiko hayana ukweli.Ni makosa kudanganya Uma
 
Kama una aya inasema yesu aliingia kanisani lete niritad
Yesu mwenyewe alishasema kwamba hakuja kwa ajili ya watenda mema bali alikuja kwa ajili ya wenye dhambi hivyo muda mwingi alikuwa anashinda na wenye dhambi ili awahubirie na kuwaokoa
 
Kitabu kila baada ya mda inakuja edition mpya bado mnakitumia kama kitabu cha TIE mara agano jipya mara agano la kale bado mmo tu masanja na mc pilipili huku kwetu tungekuwa tushawachapa fimbo kitambo sana matapeli wakubwa.
 
bibilia nikitabu kilicho fanyiwa modifcation ambacho hatamimi naweza kukiandika nawajinga wakakiamini kua nimaneno ya mungu. kitabu cha waislam huwezi kuongeza wala kupunguza hata neno moja.
Andika kama ni rahisi hivyo, wewe ni muislamu lazima utete dini yako, kwanin washia na sunni ni maadui wa kutupa kama wanatumia qurani moja
 
Kitabu kila baada ya mda inakuja edition mpya bado mnakitumia kama kitabu cha TIE mara agano jipya mara agano la kale bado mmo tu masanja na mc pilipili huku kwetu tungekuwa tushawachapa fimbo kitambo sana matapeli wakubwa.
Mbona kwenu Kuna magaidi wanatumia qurani na hamjawachapa fimbo, waganga karibia wote wanatumia Quran mbona hamjawachapa fimbo
 
Hoja yako ya kitoto sana Haina mashiko. Ila vitabu vya taurati ambavyo vilianza kuwa kwenye Judaism, ikafata Biblia na mwisho vikaja nukuliwa na Quran. Sasa nikulize ukiandika wewe?

Mpaka Muhammad alivyonukuuu mbona tayari vilikuw vimerekodiwa kwenyw ancient tablets. .
Huyo ajui kitu sio torati, zaburi, na injili amecopy na kupaste kutoka kwenye biblia
 
Huyo ajui kitu sio torati, zaburi, na injili amecopy na kupaste kutoka kwenye biblia
Ukweli ni kuwa vitabu hivi mpaka manuscript zipo za kale. Na kwenye mapango, Kuta, tablets nk zipo mpaka Leo. .

Ukikataa ukweli wa Biblia hata Quran haitakuw kweli kwa sababu inategemea vitu ambavyo vilikuw kwenye Biblia siku nyingi.

Vitabu mfano vya Isaya vimeandikwa 1400BC
Biblia vitabu vyake vimekusanywa tangu 165 AD
Wakati Quran ikaja miaka 500 baadae mwaka 640 AD

Kichwa chake kilivyo box anadhan Biblia imeandikwa na wazungu. Hajui kuwa vitabu vya Taurati, na Zaburi vilianza kwenye Judaism. Wayuda bado hawajapokea Injili. Christian ndio walipokea Injili. Wazungu walipokea Biblia miaka ya baadae sana. .

Sasa wakikubali kuwa Biblia ilitangulia maana yake Kuna vitu kibao Quran imecopy kwenye Bible, wataonekana walicopy. Sasa Cha ajabu hakuna sehemu Biblia imecopy kutoka kwa Quran, waseme ni wapi?

Ukikataa historical facts za Biblia ambazo zipo hata kwenye Hinduism, Judaism, Egypt scriptures, so many other scriptures. Quran imekuta Judaism, Christianity, Hinduism. Na imecopy vitu vingi kutoka kwenye hivi vitabu. .

Hakuna Quran bila Biblia. Kwa sababu Biblia ilianza na Taurati, Zaburi na Injili. Pia Quran imecopy Judaism Taurati na Zaburi. .
 
We ndo kichwa mchungwa mtu anacopy kitu kilichopo alafu anasema kashushiwa ndo maana wayahudi walimuambia tutolee ujinga wako hapa
Naposema kichwa mchunga ujue ni haki yenu. Onyesha wapi alicopy ? Mtu ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika.

Hivyo vitu vilikuwepo wapi mpaka akavicopy ?
 
Back
Top Bottom