Uislam ulikuja miaka 600 baada ya Ukristu. Ila waislam kuwa na historia ha kiuahidi sishangai kwa sababu Abraham alimzaa Isaka na Ishmael. Kwa hiyo Hawa ndugu ni sehemu ya familia moja siwezi shangaa wakiwa na tamaduni Moja. .
Ila sasa Quran ilitoka kichwani kwa Muhammad lakini Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoandikwa na kuhifadhia kabla ya Quran. Huu ukweli haupingiki. Pia Kuna vitabu kama au maandiko ambayo yaliandikwa na wengine ambayo yapo kwenye Biblia. .
Allah kupitia Muhammad: maana yake hizi historia zimeshushwa Kwa Muhammad kupitia malaika
On other side, historia ya Biblia iliandikwa kupitia matukio maalumu ambayo yakiwatokea wayahudi. Ukweli huu sio wa kubeza Wala kupingwa kwa sababu hata hiyo Quran Ina vitu ambavyo vilianza kuomekana kwenye Biblia. Kwa hiyo tukiita Bible uongo maana hata Quran haiwezi kuwa kweli. Kwa sababu inapata kibali kutoka kwa Biblia. .
Kama waislam wanaita Bible uongo ambayo Ina Torati, Zaburi na Injili ambazo ni matukio yaliyotekodiwa wakati yanatokea na waandishi. Basi Quran ni uwongo pia. Quran imeletwa n mtu mmoja tu ambaye ni Muhammad
Ila Biblia imeletwa na waandishi wengi ambao Kila mmoja ameandika kwa matukio aliyoyakuta. Biblia ilikuwepo kwa miaka mingi hata kabla ya Ukristu. Maandishi hay ya Biblia yapo miaka mingi na yameishi. Quran imekuta haya maandishi, alafu inataka kuyapinga😂😂😂