Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Sasa kama taurat na zaburi kwenye bible zmeandikwa mwaka gan na kwenye quran mwaka gan tukukamate
Biblia haina Taurati Bali Ina kumbukumbu la Taurati, kadhalika haina Zaburi matini aliyopewa Daudi.

Ndiyo maana nasema hivi Biblia imeikuta Qur'aan.

Vitabu ambavyo vimeitangulia Qur'aan ni Msahafu wa Ibrahim, Taurati ya Musa, Zaburi ya Daudi na Injili ya Yesu, na mpaka Mtume anatimilizwa hapakuwa na matini kama ilivyo ya vitabu hivyo yaani hapakuwa na vitabu hivyo zaidi ya mabaki ya kumbukumbu tu juu ya habari za vitabu hivyo.

Ndiyo maana mpaka Leo waandishi wa vitabu vyenu hawajulikani.
 
Sema wewe ndo huwajui mfano zaburi ni daudi mithali na mhubiri ni Suleiman, torati ni Musa, injili ya mathayo ni mathayo nyaraka nyingi aliandika Paul kwa wakorintho, thesalonike, warumi, n.k
 
Naposema kichwa mchunga ujue ni haki yenu. Onyesha wapi alicopy ? Mtu ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika.

Hivyo vitu vilikuwepo wapi mpaka akavicopy ?
Muhammad alicopy kitabu Cha wa wayahudi kinachoitwa biblia ambacho ndo hicho wanachotumia wakristo
 
Mbona kwenu Kuna magaidi wanatumia qurani na hamjawachapa fimbo, waganga karibia wote wanatumia Quran mbona hamjawachapa fimbo
Si bora ugaidi na uganga hzo kazi za kiume ila nyie huko mnafungisha ndoa za jinsia moja kanisani hamuoni aibu dini gani inaruhusu ujinga huu Qatar washasema wakikuta wanaume wanashikana shikana wanakuua hakuna kuonyesha mapenzi public haya nitajie nchi moja ya kikristo au hata mchezaji tu wa kikristo aliyetoka hadha kupinga ushoga kama alivyofanya Idris guana Gaye yule wa PSG endeleeni na ushonga sisi tunaendelea kutoa mapepo na majini na kujiunga na al Shabaab ili tuje kuuawa mashoga na nchi zinazosapoti huo ujinga hzo kazi za kiume sio kama kwenu huko mnapokea mashoga kanisani astaghafirullah.
 
Sema wewe ndo huwajui mfano zaburi ni daudi mithali na mhubiri ni Suleiman, torati ni Musa, injili ya mathayo ni mathayo nyaraka nyingi aliandika Paul kwa wakorintho, thesalonike, warumi, n.k
Ukinitajia unatakiwa uthibitishe hii ndiyo maana yangu. Kisha nipe chain kutoka kwa Daudi au Suleyman mpaka ikawafikia nyinyi Leo hii. Hivi ndivyo tunavyo hakiki habari.
 
Wanauadui wa kufa mtu usipende kudanganya watu, Kwa kukusaidia inchi za kisuni kama Saudi Arabia, uae ni Bora washirikiane na Israeli kuliko Irani ambaye ni mshia
wee unaongelea uhasama wakisiasa sio dini
 
Si bora ugaidi na uganga hzo kazi za kiume ila nyie huko mnafungisha ndoa za jinsia moja kanisani hamuoni aibu dini gani inaruhusu ujinga huu Qatar washasema wakikuta wanaume wanashikana shikana wanakuua hakuna kuonyesha mapenzi public haya nitajie nchi moja ya kikristo au hata mchezaji tu wa kikristo aliyetoka hadha kupinga ushoga kama alivyofanya Idris guana Gaye yule wa PSG endeleeni na ushonga sisi tunaendelea kutoa mapepo na majini na kujiunga na al Shabaab ili tuje kuuawa mashoga na nchi zinazosapoti huo ujinga hzo kazi za kiume sio kama kwenu huko mnapokea mashoga kanisani astaghafirullah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhammad alicopy kitabu Cha wa wayahudi kinachoitwa biblia ambacho ndo hicho wanachotumia wakristo
Thibitisha, Kisha uniambie alicopy vipi mtu asiye jua kusoma wala kuandika ?
 
Ukinitajia unatakiwa uthibitishe hii ndiyo maana yangu. Kisha nipe chain kutoka kwa Daudi au Suleyman mpaka ikawafikia nyinyi Leo hii. Hivi ndivyo tunavyo hakiki habari.
We nipe chain ya Muhammad kuanzia ibrahimu sifanyi kazi ya kutawaza Bata chain umeshapewa Zaid ya Mara moja
 
Si bora ugaidi na uganga hzo kazi za kiume ila nyie huko mnafungisha ndoa za jinsia moja kanisani hamuoni aibu dini gani inaruhusu ujinga huu Qatar washasema wakikuta wanaume wanashikana shikana wanakuua hakuna kuonyesha mapenzi public haya nitajie nchi moja ya kikristo au hata mchezaji tu wa kikristo aliyetoka hadha kupinga ushoga kama alivyofanya Idris guana Gaye yule wa PSG endeleeni na ushonga sisi tunaendelea kutoa mapepo na majini na kujiunga na al Shabaab ili tuje kuuawa mashoga na nchi zinazosapoti huo ujinga hzo kazi za kiume sio kama kwenu huko mnapokea mashoga kanisani astaghafirullah.
Ukienda Zanzibar, Mombasa, ukanda wote huu wa pwani mashoga kibao japokua waislamu ni 90% shida ni nin
 
Hakuna Chain mliyotoa humu. Maliza hili la vitabu vyenu kwanza.
Kama hakuna basi we endelea kuamin hakuna lakin ipo kwanin tuchoshane umeshatumiwa chain Mara Zaid ya moja unataka Tena utumiwe punguza kukariri hayo majuzuu
 
All in all kuwa mwema Kwa watu, usiue, mpende jirani yako, samehe madeni, usiibe, usidhulum, saidia yatima, usijilimbikizie mali, usidhini in short kuwa mwema nafikiri ukiwa mwema utakuwa na chakujitetea Kwa mungu hata kama ulikuwa unaamini vitu vya uwongo

Ipo siku moja tutajua mbivu na mbichi siku mojaaaaa.

All in all f*uck you mtoa mada kama unahisi uko sahihi endelea kuwa sahihi sio ku-attack wengine, maana imani ni kuamini katika usichokiona kwahiyo wewe husijifanye una macho kuliko wengine, nawajua watu wanajua hizi mambo za dini mpaka wanakera lakini huwaskii kuropoka ropoka hivi hovyo, wenyewe ni humble na humpenda na kumuheshimu Kila mtu so f*uck you mtoa mada unaofanya hapa ni kuonyesha Bado unakautoto kwenye dini, Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uisilamu kitabu chetu nikimoja dunia nzima Sasa uhasama unatokea wapi
Usipende ubishi wa kijinga sunni na shia hawapatani kabisa hilo liko wazi na kila mtu anajua labda kama wewe hujui

Sunni wanawatuhumu washia sio waislamu
 
All in all kuwa mwema Kwa watu, usiue, mpende jirani yako, samehe madeni, usiibe, usidhulum, saidia yatima, usijilimbikizie mali, usidhini in short kuwa mwema nafikiri ukiwa mwema utakuwa na chakujitetea Kwa mungu hata kama ulikuwa unaamini vitu vya uwongo

Ipo siku moja tutajua mbivu na mbichi siku mojaaaaa.

All in all f*uck you mtoa mada kama unahisi uko sahihi endelea kuwa sahihi sio ku-attack wengine, maana imani na kuamini katika uasichokiona kwahiyo wewe husijifanye una macho kuliko wengine, nawajua watu wanajua hizi mambo za dini mpaka wanakera lakini huwaskii kuropoka ropoka hivi hovyo, wenyewe ni humble na humpenda na kumuheshimu Kila mtu so f*uck you mtoa mada unaofanya hapa ni kuonyesha Bado unakautoto kwenye dini, Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waislamu kwanin huwa mnajazba sana hivi huyo mungu wenu huwa anafanya nin
 
Back
Top Bottom