Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Biblia haijawahi kuandikwa na Biblia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu vingi.
Qurani imevikuta hivyo vitabu vimeshakusanywa pamoja na kuitwa kitabu Cha Biblia.
Biblia haifanani na Qurani ila Qurani imejifananisha na Biblia imedokoa baadhi ya mambo ya biblia na kuyaweka kwenye Qurani.
 
Naandika kwa Elimu na hoja, Biblia ya kwanza iliandikwa lini ? Biblia imekuja baadae sana.

Vitabu vinne pekee ndiyo vimeitangulia Qur'aan, na si Biblia. Sasa wewe kama unasema ukweli tuambie Biblia iliandikwa lini kwa mara ya kwanza ?
Naona unachokifanta ni kutaka kupomda Bible Ili kuipa sifa Quran. Bible was ahead of Quran Hilo lonajulikina dunia nzima wewe tu ndo unataka kubisha. Ndo mana nilitak tuanzie hapa kwanza kabla sijaendelea mbele sasa siwezi endelea kama unabishana fact. .
Waislam wa bongo tu ndo hawataki kukubali Bible ilikuwa kabla ya Quran, which came almost 700 years later. .
 
Hawajamaa kwa religion propaganda ni hatari sana ni mabingwa wa kubadilisha uongo kuwa ukweli
 
Taurati,Zaburi na Injili hazina uhusiano wowote na Qurani Wala hazijawahi kutaja Qurani.
Ila Kuna majinga mengi yanalazimisha Qurani kuwa na mahusiano na Taurati,Zaburi na Injili.
Havina hata ukaribu Kabisa.
Quran nje ya hivyo vitabu ni sawa na mti bila mzizi lazima ipotee.
 
Kwa hiyo unadhani kushangaa kwako ndio kunafanya maandiko ya Biblia Yasi kosolewe kwa kigezo chako cha watu hawana elimu ya kutosha?

Wewe una elimu gani nje ya Biblia? Au umekaririshwa Biblia tu na kudhani ume maliza kila kitu duniani?

Kuna member humu alitabiri kifo cha mkuu wa kaya na kikatokea.

Roma mkatoliki alitabiri Magu kuwa raisi.
 
HAKUNA biblia HAPO MZEE.
Biblia ilikuja baada ya yesu kuondoka.biblia NI muunganiko wa vitabu vingi vya waandishi tofauti tofauti.kwa hyo hata huyo yes hajawahi kuishika biblia Wala kuiona na haijui
Hivi unajua maana ya neno biblia? Unajua nini mkuu , hatakama umekaririshwa jitahidi ujifunze mwenyewe.
 
Quran aliyoshushiwa Muhammad mwaka 600's unasema ndio ya kwanza kabla ya biblia

Kama Quran ilikuwepo kwanin Muhammad alishushiwa unajua uislamu ni dini ya vibweka sana
Nukta ya msingi ni Biblia na Qur'aan. Biblia imeikuta Qur'aan.

Kipindi Mtume anashushiwa Qur'aan hapakuwa na Biblia.
 
Kanisa Ni nini
Kanisa ni Nyumba ya Ibada ya Wakristo. Wakristo siyo wafuasi wa Yesu, wafuasi wa Yesu waliitwa Nasara. Ila nyinyi ni wafuasi wa Paulo na ndiyo mnatumia makanisa kuabudia.
 
Nukta ya msingi ni Biblia na Qur'aan. Biblia imeikuta Qur'aan.

Kipindi Mtume anashushiwa Qur'aan hapakuwa na Biblia.
Kamwe huwez pinga ukweli wewe endelea kujifariji, Mohammed mwenyewe anakubali kipindi chake kulikua na wakristo na wayahudi nawalikua wanatumia biblia, Sasa wewe muislamu wa buza unabishana naye
 
Naona unachokifanta ni kutaka kupomda Bible Ili kuipa sifa Quran. Bible was ahead of Quran Hilo lonajulikina dunia nzima wewe tu ndo unataka kubisha. Ndo mana nilitak tuanzie hapa kwanza kabla sijaendelea mbele sasa siwezi endelea kama unabishana fact. .
Waislam wa bongo tu ndo hawataki kukubali Bible ilikuwa kabla ya Quran, which came almost 700 years later. .
Nimekuuliza swali la msingi Biblia ya kwanza imeandikwa lini ? Au hamna historian ya kuandikwa kwa Biblia ?

Nyinyi si ndiyo mnasema Biblia ni mkusanyiko wa Vitabu kadhaa ? Sasa utuambie huu mkusanyiko ulikusanywa lini kwa mara ya kwanza ? Sasa usiwe kichwa mchunga kiasi hiki.

Waislamu gani ambao wanakubali ya kuwa Biblia ilikuwepo kabla ya Qur'aan ? Hakuna Muislamu huyo katika mgongo huu wa Ardhi.
 
Hata ukiambiwa utabisha wewe endelea kukariri juzuu
 
Nimekuuliza swali la msingi Biblia ya kwanza imeandikwa lini ? Au hamna historian ya kuandikwa kwa Biblia ?

Nyinyi si ndiyo mnasema Biblia ni mkusanyiko wa Vitabu kadhaa ? Sasa utuambie huu mkusanyiko ulikusanywa lini kwa mara ya kwanza ? Sasa usiwe kichwa mchunga kiasi hiki.

Waislamu gani ambao wanakubali ya kuwa Biblia ilikuwepo kabla ya Qur'aan ? Hakuna Muislamu huyo katika mgongo huu wa Ardhi.

Nikisema utasema ushahidi uko wapi. Basi sasa nimeandika link kituko Wikipedia ikionyesha vitabu hivi viliandikwa lini na Bible was comprised lini. Hebu soma uongeze maarifa kidogo. .
 
Yesu katumia na kunukuu maandiko mengi Sana ya Biblia ,kipind yupo Biblia ilikuwa mwisho Kitabu Cha malaki , AGANO LA KALE

Ambalo limegawanyika katika Sehemu kuu 3

TORATI ,ZABURI NA MANABII

Ukitaka aya alizonukuu kutoka Agano la kale /Tanak zipo za kumwaga
Kilaza niwewe dah kumbe vilaza wapi wengi ukihitaji kujielewa kuwa wewe nikilaza ni hapa Yesu alikuja duniani kuokoa kilichopotea na baada ya hayo wanafunzi wake waliandika agano jipya ambalo ndio mtume Paulo , mtume yohana na Petro so angalia Dunia ikabadilika ndio maana saivi mnatomba mnasamehewa tu zamani sio hivyo ukitomba unaadhubiwa hapo hapo Kwa maana umezini
 
Back
Top Bottom