hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 2,948
- 5,198
Nikionaga mtu ana kashifu MAANDIKO YA BIBLIA huwa nashangaa Sana, Kuna mawili Hana elimu ya kutosha Kuhusu maandiko yake, au amepofushwa na matapeli wa dini .
HEBU ONA UNABII HUU WA YESU ULIVYOTIMIA.
HATA UKIAMBIWA UUPINGE UNAKOSA HOJA KABISA. HIVI KUNA KITABU CHA AJABU KAMA BIBLIA ?
TWENDE UONE
Yesu alisema katika Mathayo 24:2,
"...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa" .
Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.
Mwaka 70 AD jeshi la Dola la Roma lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu, tarehe ileile lilipobomolewa mara ya kwanza.Kuta za msingi tu zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijlikana kama Ukuta wa Maombolezo na ni patakatifu pa Wayahudi.
Waroma walijenga hapohapo hekalu kubwa kwa mungu wao Jupiter lililobomolewa baada ya ushindi wa Ukristo katika Dola la Roma.
Mara mbili kulitokea majaribio ya kujenga tena hekalu la Kiyahudi: mara ya kwanza chini ya Kaisari Julian Apostata, na mara ya pili wakati wa uvamizi wa Uajemi kwenye vita dhidi ya Bizanti(BENZANTINE) mnamo 614 lakini majaribio yote yalishindikana.
Waislamu walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapo misikiti miwili: msikiti wa Al Aqsa pamoja na Kubba ya Mwamba.
Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,
Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,.Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika
Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.
KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU , biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo , AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.
Na hoja hizo ndizo zimekuwa zikijadiliwa tena na tena kwenye Mabunge ya Marekani na Nchi za umoja wa mataifa juu ya uhalali wa Nchi ya Israel kuwa ndio wamiliki halali wa Mji wa Yerusalem.