Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

hakuna kitabu mungu ana kitambua kinautwa bibilia.
HII NDIO BIBLIA ,HAIHITAJI KUJITETEA ,

KITU KAMA HIKI HUWEZI KUKUTA KWENYE QURAN , ZAIDI INAKOPI KOPI BILA HATA MPANGILIO

2petro 2

6.Tena akaihukumu miji ya Sodoma na Gomora,akiipindua na kuifanyamajivu,AKAIFANYA IWE ISHARA KWA WATU WATAKAOKUWA HAWAMCHI MUNGU BAADA YA HAYA

download%20(3).jpg
 
hakuna kitabu mungu ana kitambua kinautwa bibilia.
HII NDIO BIBLIA HAIBAHATISHI KAMA QURAN ,

NAHUMU 3

1.Ole wake mji wa damu! Umejaa mambo ya uongo na unyang'anyi; mateka hayaondoki.......

7.Hata itakuwa, wote wakutazamao watakukimbia, wakisema, Ninawi umeharibika; ni nani atakayeuhurumia? Nikutafutie wapi wafariji?

Habari za kuangamizwa kwa mji wa Ninawi ni miongoni mwa nabii za kushangaza ambazo maelezo yake yanapatikana katika Biblia. Habari hizi zilitabiriwa na Nabii Nahumu mwaka 700 K.K. Katika utabiri wake alitabiri kuwa mji mkubwa huu, utaangamizwa kabisa na hautajengwa tena. Unabii huu ulitimizwa mwaka 606 K.K, wakati Wamedi walipouharibu na kuuteketeza. Sawasawa na maneno ya Nabii Nahumu, mji huu haujawahi kujengwa.

kwa mujibu wa shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) katika taarifa yake ya habari hivi karibuni lilitangaza kwamba namba ya wakristo imeshuka kutoka milioni 1 na laki tano mwaka 2003 mpaka 350,000 - 450,000, ambapo wengi wao waliobakia wanaishi vijijini kama kijiji cha Qaraqosh ambacho pia kinafahamika kwa jina lingine kama Baghidada, Bartella, -Hamdaniya pamoja na Tel Kef ambavyo vipo ndani ya Ninawi. mwishoni mwa mwaka juzi wakristo waliamliwa kuondoka katika mji wa Mosul, tamko lililotolewa na wanajeshi wa Sunni (moja ya majeshi makubwa ya kiislamu) na mpaka kufikia jumamosi iliyopita wakristo wengi waliamua kuhama mji huo na kukimbilia miji ya karibu inayokaliwa na wakristo, kwa mujibu wa ripoti kutoka vyombo vya habari vya kimataifa vinasema wakristo waliamua kuondoka Mosul wakiacha samani zao nyuma na kuondoka na nguo walizovaa tu na kukimbilia kijiji cha Al Qosh mji mkubwa wa wakristo ambao unadaiwa kabla majeshi hayo ya kiislamu kuchukua mji ulikuwa na wakristo wafikao 30,000 lakini toka june mwaka jana wakristo waliosalia waliamua kuukimbia mji. (Popote ulipo maombi yako ni muhimu sana kwa ndugu zetu hawa)
tapatalk_1581744573630.jpg
 
bibilia nikitabu kilicho fanyiwa modifcation ambacho hatamimi naweza kukiandika nawajinga wakakiamini kua nimaneno ya mungu. kitabu cha waislam huwezi kuongeza wala kupunguza hata neno moja.
NI RAHISI KUROPOKA

BIBLIA INAJITHIBITISHA IMETOKA KWA MUNGU, MFANO UNABII HUU KAMWE HUWEZI KUUKUTA KWENYE QURAN ,HATA WAKUFANANA TU

Jiwe la Moabu

katika mwaka wa 1868 kule Diboni, Yordani Kulipatikana jiwe lifaamikalo kama MOABITE STONE lililogunduliwa na mwana akiolojia na mmishionari wa ujerumani Klein,

Jiwe hili linathibitisha vita ya wa moabu dhidi ya Israeli kama ilivyoandikwa katika 2Fal 2 na 3.

Kati ya shuhuda za kiakiolojia za kabila hili la wa moabu ni Jiwe la Mesha, linaloeleza ushindi wao dhidi ya mwana wa mfalme Omri wa Israeli.

JIWE HILI LILIKUTWA LIMEANDIKWA MANENO HAYA

“Mimi ni Mesha […] mfalme wa moabub […] Omri alikuwa mfalme wa Israeli, na akawatesa moabu Moabu […]Nilichukua kutoka humo vyombo vya Yehova […] ilihali nyumba ya Daudi ilimiliki Horonaimu

Jiwe la moabu ni maelezo ya matukio yanayofanana na 2 Wafalme sura ya 3. Watu kadhaa wa bibilia na mahali hutajwa:

Jiwe la MOABU Lilikuwa na umri unaokaribia miaka 3,000. Ni kipande cha jiwe la basalti jeusi lililosuguliwa likiwa na upande wa juu ulioviringishwa vizuri, lilikuwa na kimo cha karibu meta 1.2 likipita kidogo tu upana wa meta 0.6, na likiwa na unene unaokaribia meta 0.6
download%20(5).jpg
download%20(4).jpg
 
bibilia nikitabu kilicho chakachuliwa. usishangae kuona vitabu hivyo vimeandikwa humo
UNADHANI NI RAHISI KUCHAKACHUA ?

MUNGU AMELINDA NENO LAKE MIAKA NA MIAKA

KUNA WATU WAMECHOMWA HADI MOTO SABABU YA HII BIBLIA KWA KUISAMBAZA NA KUILINDA , WEWE UNAROPOKA TU ETI IMECHAKACHULIWA ....

Wapo wengi sana huyu Ni mmoja wao tuView attachment 2407960
download%20(6).jpg
 
Kilichakuliwa na nani mbona una ubishi wa kitoto sana. Ukristu ilikuwepo miaka mingi kabla ya Islamic. Bisha tu unenepe[emoji1787]
Swali ambalo hakuna muislamu anaweza kulijibu

KABLA YA MUHAMMAD MBONA HAKUNA USHAHIDI WA KUWEPO DINI YA UISLAMU ?

UBUDHA,USHINTO UPO KABLA YA UKRISTO NA HISTORIA ZA KUTHIBITISHA ZIPO

IWEJE UISLAMU UKOSE HISTORIA KAMA KWELI ULIKUWEPO KABLA YA UKRISTO

Dini ya kiislamu Ni janja janja Sana, Ina matobo Sana ,imeungaunga kwa kuokoteza huku na huku , haina misingi imara

Ndio maana Muislamu yeyote akiamua kutoka nje ya box , hawezi KUBAKI KWENYE hiyo dini
 
Badala ujibu hoja unanishambulia mm

Sasa unadhani kukosoa maandiko ya Biblia ndio kutamfanya MUNGU aonekane Muongo?
Kwani ukikosoa bibilia ndiyo umemkosoa Mungu, wanakosolewa walioandika, Kwani Wakristo wenyewe ambao hufuata Bibilia kuna maandishi wanapingana, huyu huamini ilikua vile huyu huamini ilikua hivi.

Ndiyo maana kuna madhebu mengi kama mchele.
Kwa mlokole, mtu wa Roman Cathoric, hata awe anaishi bila kumkosea Mungu, au kutenda dhambi, yeye humuhesabu ni mwenye dhambi tu.
 
Hiyo haimfanyi Mungu kuwa Muongo

Sawa na Quran ya Muhammad Lakini madhehebu 70
 
Unakubali kuwa Muhammad alikuwa hajui kusoma Wala kuandikwa😊
Kwa kiswahili mtu asiyejua kusoma Wala kuandikwa ni mbumbumbu. Mtu huyu hawezi kuwa na uwezo wa kushika mambo makubwa hata kidogo
Hiki Kiswahili gani ? Nani amekwambia habari hizi ?

Lakini sifa ya Mtume kwa watu alio ishu nao alisikifika kwa tabia nzuri na uaminifu. Je Kuna lipi zito kushinda tabia njema na uaminifu ?
Unajua maana ya plagiarism? Kuna maandiko yalikuwepo aje mtu na maandiko yanayofanana na Yale yaliyokuwepo ndio maana ya plagiarism. Hata waarabu scholars wanakubali Biblia ilianza. Ila wabongo kwa ubishi🤣🤣🤣
Sasa ndiyo utuambie wewe aliwezaje Hilo na hajui kusoma wala kuandika ?

Scholars gani wa Kiarabu wanakubali ya kuwa Biblia ilianza kabla ya Qur'aan ? Nitajie watatu nipate kuwajua.
 
Nikionaga mtu ana kashifu MAANDIKO YA BIBLIA huwa nashangaa Sana, Kuna mawili Hana elimu ya kutosha Kuhusu maandiko yake, au amepofushwa na matapeli wa dini .

HEBU ONA UNABII HUU WA YESU ULIVYOTIMIA.

HATA UKIAMBIWA UUPINGE UNAKOSA HOJA KABISA. HIVI KUNA KITABU CHA AJABU KAMA BIBLIA ?

TWENDE UONE

Yesu alisema katika Mathayo 24:2,
"...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa" .

Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.

Mwaka 70 AD jeshi la Dola la Roma lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu, tarehe ileile lilipobomolewa mara ya kwanza.Kuta za msingi tu zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijlikana kama Ukuta wa Maombolezo na ni patakatifu pa Wayahudi.

Waroma walijenga hapohapo hekalu kubwa kwa mungu wao Jupiter lililobomolewa baada ya ushindi wa Ukristo katika Dola la Roma.

Mara mbili kulitokea majaribio ya kujenga tena hekalu la Kiyahudi: mara ya kwanza chini ya Kaisari Julian Apostata, na mara ya pili wakati wa uvamizi wa Uajemi kwenye vita dhidi ya Bizanti(BENZANTINE) mnamo 614 lakini majaribio yote yalishindikana.

Waislamu walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapo misikiti miwili: msikiti wa Al Aqsa pamoja na Kubba ya Mwamba.

Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,

Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,.Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika

Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.

KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU , biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo , AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.

Na hoja hizo ndizo zimekuwa zikijadiliwa tena na tena kwenye Mabunge ya Marekani na Nchi za umoja wa mataifa juu ya uhalali wa Nchi ya Israel kuwa ndio wamiliki halali wa Mji wa Yerusalem.

View attachment 2406798
Biblia ina contradictions nyingi sana. Nikikuwekea hapa hutaweza kumaliza kuzipangua.

Bisha.
 
Unajuaje kwamba maneno hayo aliyasema Yesu kabla hekalu halijavunjwa, na hayakuongezwa baada ya hekalu kuvunjwa?

Unajuaje kwamba kama maneno yalisemwa kweli kabla ya hekalu kuvunjwa, Warumi walitimiza tu kwa sababu zao za kisiasa?

Unajuaje kwamba hii si coincidence?

Unaelewa ukichagua jengo lolote duniani na kusema hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe, bila kutoa tarehe maalum, hujatabiri lolote, kwa sababu majengo yote ya mawe hatima yake ni kuvunjika kabisa?

Kwani kuna majengo mangapi ya muda huo leo hayapo?

Hivi, nikikwambia jua litaonekana kuchomoza kesho, halafu likachomoza kweli, hapo nami ni nabii mtabiri?

Yesu angesema hili jengo halitavunjika kwa miaka elfu mbili, hapo angekuwa katoa unabii. Angekuwa time specific, angekuwa anakinzana na entropy.

Lakini kusema hakuna jiwe litakalobakia juu ya jiwe kwenye jengo hili, bila kuwa time specific, si utabiri wala unabii.

Ni uzugaji tu.
 
Zab 53:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu
 
Biblia ina contradictions nyingi sana. Nikikuwekea hapa hutaweza kumaliza kuzipangua.

Bisha.
Ulisha copy na kupaste,

Wewe endelea kuamini Mungu hayupo

Zab 53:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu
 
Uislam ulikuja miaka 600 baada ya Ukristu. Ila waislam kuwa na historia ha kiuahidi sishangai kwa sababu Abraham alimzaa Isaka na Ishmael. Kwa hiyo Hawa ndugu ni sehemu ya familia moja siwezi shangaa wakiwa na tamaduni Moja. .

Ila sasa Quran ilitoka kichwani kwa Muhammad lakini Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoandikwa na kuhifadhia kabla ya Quran. Huu ukweli haupingiki. Pia Kuna vitabu kama au maandiko ambayo yaliandikwa na wengine ambayo yapo kwenye Biblia. .

Allah kupitia Muhammad: maana yake hizi historia zimeshushwa Kwa Muhammad kupitia malaika

On other side, historia ya Biblia iliandikwa kupitia matukio maalumu ambayo yakiwatokea wayahudi. Ukweli huu sio wa kubeza Wala kupingwa kwa sababu hata hiyo Quran Ina vitu ambavyo vilianza kuomekana kwenye Biblia. Kwa hiyo tukiita Bible uongo maana hata Quran haiwezi kuwa kweli. Kwa sababu inapata kibali kutoka kwa Biblia. .

Kama waislam wanaita Bible uongo ambayo Ina Torati, Zaburi na Injili ambazo ni matukio yaliyotekodiwa wakati yanatokea na waandishi. Basi Quran ni uwongo pia. Quran imeletwa n mtu mmoja tu ambaye ni Muhammad
Ila Biblia imeletwa na waandishi wengi ambao Kila mmoja ameandika kwa matukio aliyoyakuta. Biblia ilikuwepo kwa miaka mingi hata kabla ya Ukristu. Maandishi hay ya Biblia yapo miaka mingi na yameishi. Quran imekuta haya maandishi, alafu inataka kuyapinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Quran haikuchukuliwa kutoka kwenye biblia

(b)Dai la Kunakili Biblia

Aidha wengine wanasema Muhammad alinakili mafundisho ya biblia na halafu akadai kuwa yanatoka kwa Allah (s.w). Lakini inadaiwa kuwa hakunakili kila kitu bali alichagua sehemu fulani fulani alizoziona nzuri. Ushahidi wanaoutoa ni kuwa zipo sehemu katika Qur-an ambazo zinafanana na zile zilizomo katika Biblia. Hivyo, kwa kuwa ilitangulia Biblia kabla ya Qur-an ni wazi kuwa Qur-an ndiyo iliyochota kutoka katika Biblia. Madai haya ni dhaifu kwa sababu zifuatazo:

(i)Muhammad (s.a.w) alisema na kusisitiza kuwa Qur-an imetoka kwa Mwenyezi Mungu (s.w).

(ii)Muhammad hakujua kusoma wala kuandika.

(iii)Nakala ya kwanza ya Agano la Kale (Old Testament) kufasiriwa kwa lugha ya Kiarabu ilipatikana mwaka 900 A.D.Wakati huo ilikuwa imekwishapita miaka 200 tangu Muhamad kutawafu. Ama Agano Jipya (New Testament) lilitolewa kwa mara ya kwanza mwaka 1616, miaka elfu baada ya Muhammad (s.a.w) kufariki dunia!

(iv)Qur-an (4:82) imesema kuwa lau kama hii Qur-an ingetoka kwa asiye kuwa Allah ingekuwa na khitilafu nyingi. Hivyo mtu mwenye shaka na aitumie fursa hiyo kutafuta khitilafu katika Qur-an.
(v) Isitoshe, ikiwa kuna tungo mbili au vitabu viwili vimefanana, kufanana huko peke yake si ushahidi wa kutosha kuwa kitabu kimoja kimenakili kutoka katika kitabu cha kwanza kuandikwa. Hii ni kwa sababu yawezekana pia kuwa vitabu vyote viwili vikawa vimetegemea au kunakili kutoka katika kitabu cha tatu ambacho sisi hatukijui. Ilivyo ni kuwa Taurati, Injili na Quran ni vitabu vya Mwenyezi Mungu. Hivyo ni wazi kuwa kama Biblia imenukuu aya halisi za Tourati na Injili lazima aya hizo zitafanana na aya za Qur-an,kwa vile zote zinatokana na Allah(s.w).

Isitoshe utafiti uliofanywa na baadhi ya wanazuoni umeonesha kuwa amri kumi za Mungu zilizomo katika Agano la Kale kwa mfano, zimekuwemo katika vitabu vya Wahindu kabla ya kuja kwa Agano hilo la kale. Je, tuseme biblia ilinakili amri hizo kutoka kwa Wahindu? Si lazima iwe hivyo. Pamoja na kufanana huko katika baadhi ya sehemu bado kimsingi Biblia na Qur-an zimetofautiana kiasi kikubwa.

Tofauti za Kimsingi Kati ya Qur-an na Biblia

(1)Biblia si kitabu kimoja bali ni mkusanyiko wa vitabu 73 kwa mujibu wa madhehebu ya Wakatoliki au vitabu 66 kwa mujibu wa madhehebu ya Waprotestanti. Vitabu hivyo viliandikwa na waandishi wasiopungua 40. Qur-an ni kitabu kimoja kilichotoka kwa Mwenyezi Mungu na aya zake zote ziliandikwa mara tu baada ya kushuka.

(2)Biblia ni kitabu chenye mchanganyiko wa maneno ya Mwenyezi Mungu, Mitume na maoni ya wanahistoria. Qur-an ni neno la Allah (s.w) tu peke yake. Hata maneno ya Muhammad (s.a.w) hayamo katika Qur-an.
(3)Katika Agano la Kale na Jipya yapo maelezo juu ya historia ya maisha ya Mitume. Kumbukumbu la Torati siyo tu ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa watu bali pia historia ya maisha ya nabii Mussa (a.s). Injili ya Mathayo, Luka, Marko na Yohana zinaelezea historia ya Yesu kama ilivyosimuliwa na wanafunzi wake. Qur-an inataja habari za mitume waliopita ili kutoa mafundisho kwa watu lakini sio kama sira (biography) za mitume hao.

(4)Biblia inavyo vitabu kadhaa ambavyo viliandikwa miaka mingi sana baada ya kutawafu mitume hao. Ndio maana wanazuoni Wakikristo hupata matatizo sana katika uchambuzi wa maandiko hayo kwani hushindwa kumjua nani mwandishi na aliandika lini. Kwa mfano katika Biblia iliyotolewa na Collins iitwayo: Revised Standad Version ya 1971 uk. 12-17 imeandikwa kuwa Mwandishi wa 1 Samweli hajulikani, pia hajulikani mwandishi wa kitabu cha 2 Samweli, 1 Wafalme, 1 Mambo ya Nyakati, Esta, Ayubu, Yona na Habakuki.Hali kadhalika mpaka leo kuna wasiwasi kama kitabu cha Waebrania kiliandikwa na Paulo au na mtu mwengine.Na Encyclopaedia Britannica inakiri kuwa mpaka hivi hatuna uhakika jinsi au wapi vitabu 4 vya Injili vilizuka. Kinyume chake Qur-an yote iliandikwa wakati wa uhai wa Muhammad (s.a.w) na ikahifadhiwa vifuani na mamia ya watu.

(5)Injili 4 zilizomo katika Agano Jipya siyo Injili zote zilizoandikwa. Zilikuwapo Injili nyingine nyingi. Ilifanyika Sinodi (mkutano wa wawakilishi wa makanisa) mwaka 325 ili kuamua Injili zipi zichukuliwe na zipi zikataliwe. Injili ya Barnabas ilikataliwa.Na katika historia ya Kanisa viko vitabu vilivyokubaliwa na baadaye kukataliwa na kinyume chake. Ni binaadamu waliokuja baadaye ndio waliokuwa na uwezo wa kuamua lipi liwe neno la Mungu na lipi lisiwe. Katika Uislamu hakukuwa na Ijitimai yoyote iliyokaa kuamua sura ipi iwe Qur-an ama isiwe.
 
mkuu hawa viazi wasipo kuelewa hawata elewa tena maisha yao yote
 
HII NDIO BIBLIA ,HAIHITAJI KUJITETEA ,

KITU KAMA HIKI HUWEZI KUKUTA KWENYE QURAN , ZAIDI INAKOPI KOPI BILA HATA MPANGILIO

2petro 2

6.Tena akaihukumu miji ya Sodoma na Gomora,akiipindua na kuifanyamajivu,AKAIFANYA IWE ISHARA KWA WATU WATAKAOKUWA HAWAMCHI MUNGU BAADA YA HAYA

View attachment 2407940
halafu kiongozi wenu papa akayaona haya Mambo kua yakawaida dini yenu yakishenzi Sana mkuu
 
HII NDIO BIBLIA HAIBAHATISHI KAMA QURAN ,

NAHUMU 3

1.Ole wake mji wa damu! Umejaa mambo ya uongo na unyang'anyi; mateka hayaondoki.......

7.Hata itakuwa, wote wakutazamao watakukimbia, wakisema, Ninawi umeharibika; ni nani atakayeuhurumia? Nikutafutie wapi wafariji?

Habari za kuangamizwa kwa mji wa Ninawi ni miongoni mwa nabii za kushangaza ambazo maelezo yake yanapatikana katika Biblia. Habari hizi zilitabiriwa na Nabii Nahumu mwaka 700 K.K. Katika utabiri wake alitabiri kuwa mji mkubwa huu, utaangamizwa kabisa na hautajengwa tena. Unabii huu ulitimizwa mwaka 606 K.K, wakati Wamedi walipouharibu na kuuteketeza. Sawasawa na maneno ya Nabii Nahumu, mji huu haujawahi kujengwa.

kwa mujibu wa shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) katika taarifa yake ya habari hivi karibuni lilitangaza kwamba namba ya wakristo imeshuka kutoka milioni 1 na laki tano mwaka 2003 mpaka 350,000 - 450,000, ambapo wengi wao waliobakia wanaishi vijijini kama kijiji cha Qaraqosh ambacho pia kinafahamika kwa jina lingine kama Baghidada, Bartella, -Hamdaniya pamoja na Tel Kef ambavyo vipo ndani ya Ninawi. mwishoni mwa mwaka juzi wakristo waliamliwa kuondoka katika mji wa Mosul, tamko lililotolewa na wanajeshi wa Sunni (moja ya majeshi makubwa ya kiislamu) na mpaka kufikia jumamosi iliyopita wakristo wengi waliamua kuhama mji huo na kukimbilia miji ya karibu inayokaliwa na wakristo, kwa mujibu wa ripoti kutoka vyombo vya habari vya kimataifa vinasema wakristo waliamua kuondoka Mosul wakiacha samani zao nyuma na kuondoka na nguo walizovaa tu na kukimbilia kijiji cha Al Qosh mji mkubwa wa wakristo ambao unadaiwa kabla majeshi hayo ya kiislamu kuchukua mji ulikuwa na wakristo wafikao 30,000 lakini toka june mwaka jana wakristo waliosalia waliamua kuukimbia mji. (Popote ulipo maombi yako ni muhimu sana kwa ndugu zetu hawa)View attachment 2407949
unaweza kuta wanatabia zao zakichoko ndiomana wanafukuzwa. mkuu papa si ameubariki uchoko?
 
halafu kiongozi wenu papa akayaona haya Mambo kua yakawaida dini yenu yakishenzi Sana mkuu
Papa Ni kiongoz wa Roman Catholic na Uislamu

Au hujui Uislamu umeanzishwa na Roman Catholic?

Tukupe elimu?

download%20(8).jpg
 
Back
Top Bottom