Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

NI RAHISI KUROPOKA

BIBLIA INAJITHIBITISHA IMETOKA KWA MUNGU, MFANO UNABII HUU KAMWE HUWEZI KUUKUTA KWENYE QURAN ,HATA WAKUFANANA TU

Jiwe la Moabu

katika mwaka wa 1868 kule Diboni, Yordani Kulipatikana jiwe lifaamikalo kama MOABITE STONE lililogunduliwa na mwana akiolojia na mmishionari wa ujerumani Klein,

Jiwe hili linathibitisha vita ya wa moabu dhidi ya Israeli kama ilivyoandikwa katika 2Fal 2 na 3.

Kati ya shuhuda za kiakiolojia za kabila hili la wa moabu ni Jiwe la Mesha, linaloeleza ushindi wao dhidi ya mwana wa mfalme Omri wa Israeli.

JIWE HILI LILIKUTWA LIMEANDIKWA MANENO HAYA

“Mimi ni Mesha […] mfalme wa moabub […] Omri alikuwa mfalme wa Israeli, na akawatesa moabu Moabu […]Nilichukua kutoka humo vyombo vya Yehova […] ilihali nyumba ya Daudi ilimiliki Horonaimu

Jiwe la moabu ni maelezo ya matukio yanayofanana na 2 Wafalme sura ya 3. Watu kadhaa wa bibilia na mahali hutajwa:

Jiwe la MOABU Lilikuwa na umri unaokaribia miaka 3,000. Ni kipande cha jiwe la basalti jeusi lililosuguliwa likiwa na upande wa juu ulioviringishwa vizuri, lilikuwa na kimo cha karibu meta 1.2 likipita kidogo tu upana wa meta 0.6, na likiwa na unene unaokaribia meta 0.6View attachment 2407956View attachment 2407957
bible nistori zawatu kilamtu anatunga yakwake
 
unaweza kuta wanatabia zao zakichoko ndiomana wanafukuzwa. mkuu papa si ameubariki uchoko?
Papa ndiye pia kaanzisha UISLAMU

Muhammad pia ameruhusu kuingiliana

Soma hapa
FB_IMG_1667457924457.jpg
 
mkuu hawa viazi wasipo kuelewa hawata elewa tena maisha yao yote
قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ

(AL - AH'QAAF - 9)
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Tukiwaambia Mohamad sio mtume WALA nabii mnatutukana , angalia hapo anajieleza mwenyewe hajui chochote , hata adhabu yake yeye mwenyewe hajui WALA wafuasi wake

Huu Ni msiba mkubwa Kwa waislam [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji120]
 
Vitabu vyote viwili ni tamaduni za nje, Kizungu na Kiarabu. Wewe Mwafrika utamadumi wako uko wapi? Sio kwamba napinga imani za watu, naziheshimu ila wasiingilie ninachoabudu Mimi kama Mwafrika. Mababu wetu wa kale walivijua hivyo vitabu?
 
قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ

(AL - AH'QAAF - 9)
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Tukiwaambia Mohamad sio mtume WALA nabii mnatutukana , angalia hapo anajieleza mwenyewe hajui chochote , hata adhabu yake yeye mwenyewe hajui WALA wafuasi wake

Huu Ni msiba mkubwa Kwa waislam [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji120]
kwaakili yako ndogo huwezi ukaelewa apo
 
Kama unasema papa ndio kaanzisha uisilamu. nimesibitisha hujui lolote
Wewe utajulia wapi ,wakati elimu dunia huijui

Unajua bi Khadija alikuwa mroma?

Unamjua Padri Waraqa?

Nikupe Historia Zaidi?

Kuna ushahidi mwingi kwamba waislamu wanamwomba na kumwabudu bikra Maria kama wakatoliki wanavyofanya!

Na kama vile Adolf Hitler na wanajeshi wa Nazi wa Katoliki wanavyochukia watu weusi, waislamu pia huchukia watu weusi kwa sababu Korani yao inasema “siku ya mwisho watu ambao tu nyuso zao zitakuwa nyeupe ndio wataokolewa, na wale ambao nyuso zao zitakuwa nyeusi wataangamizwa" Quran sura ya 3, aya ya 105,106.

ukisoma tu korani ya kiswahili utaikosa maana ya fungu hilo; watafsiri wa korani wanaficha ukweli wa baadhi ya mafungu kwa sababu kama watu wakiyasoma jinsi yalivyo, wengi leo wangekuwa wameuacha Uislamu.

Naamini kwamba kama Korani haikuandikwa na upapa, basi iliandikwa na shetani au roho ileile ya kishetani iliyovuvia madogima na mapokeo ya upapa. Kwangu haigongi akili ya kawaida au ya kiroho kwamba Mungu wa mbinguni aliyevuvia Biblia kwa Roho wake, na kuagiza kwamba Yesu ni Mwana wake wa pekee kwa kuzaliwa, angekuja kuleta Korani inayopinga wokovu na kufundisha Yesu si kitu chochote ila Mwana wa Mariyamu tu! dogima lilelile linalofundishwa na kanisa katoliki. Angalia kwanini wanamwita Yesu mwana wa Mariamu badala ya Mwana Wa Mungu?

Pia Yesu angewezaje kuzaliwa katika Hori la ng’ombe harafu baadaye miaka 600 mbele korani idai Yesu alizaliwa chini ya mtende? Sababu hizi mbili tu zinatosha kufutilia mbali maoni ya korani, ni kama uvumbuzi wa mwanadamu tu na haupatani na mpango wa Mungu wowote ule.
 
papa aliuanzisha uisilamu mwaka gani?
Mwaka 600s

. Kanisa katoliki lilivumbua korani ili liweze kupata njia mpya ya kutekeleza madogima na mapokeo yake. Pia inajulikana wazi kwamba kiti cha upapa kilitoka katika upagani wa Uislamu; Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema “wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka 1795, walikuta nyuma yake, kwa Kiarabu, sentensi hii inayojulikana sana kutoka kwenye Korani, “Hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu, na Mohhomed ni Mtume Wake” — (The Two Babylons, Page 213, Chapter 6, Religious Orders, Section L).
 
kwahio mkuu kufirana kwenu sio
Papa ndiye pia kaanzisha UISLAMU

Muhammad pia ameruhusu kuingiliana

Soma hapaView attachment 2408097

Mwaka 600s

. Kanisa katoliki lilivumbua korani ili liweze kupata njia mpya ya kutekeleza madogima na mapokeo yake. Pia inajulikana wazi kwamba kiti cha upapa kilitoka katika upagani wa Uislamu; Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema “wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka 1795, walikuta nyuma yake, kwa Kiarabu, sentensi hii inayojulikana sana kutoka kwenye Korani, “Hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu, na Mohhomed ni Mtume Wake” — (The Two Babylons, Page 213, Chapter 6, Religious Orders, Section L).
una bwabwaja tu.hivinyie uchoko kwenye dini yenu siozambie?
 
Wewe utajulia wapi ,wakati elimu dunia huijui

Unajua bi Khadija alikuwa mroma?

Unamjua Padri Waraqa?

Nikupe Historia Zaidi?

Kuna ushahidi mwingi kwamba waislamu wanamwomba na kumwabudu bikra Maria kama wakatoliki wanavyofanya!

Na kama vile Adolf Hitler na wanajeshi wa Nazi wa Katoliki wanavyochukia watu weusi, waislamu pia huchukia watu weusi kwa sababu Korani yao inasema “siku ya mwisho watu ambao tu nyuso zao zitakuwa nyeupe ndio wataokolewa, na wale ambao nyuso zao zitakuwa nyeusi wataangamizwa" Quran sura ya 3, aya ya 105,106.

ukisoma tu korani ya kiswahili utaikosa maana ya fungu hilo; watafsiri wa korani wanaficha ukweli wa baadhi ya mafungu kwa sababu kama watu wakiyasoma jinsi yalivyo, wengi leo wangekuwa wameuacha Uislamu.

Naamini kwamba kama Korani haikuandikwa na upapa, basi iliandikwa na shetani au roho ileile ya kishetani iliyovuvia madogima na mapokeo ya upapa. Kwangu haigongi akili ya kawaida au ya kiroho kwamba Mungu wa mbinguni aliyevuvia Biblia kwa Roho wake, na kuagiza kwamba Yesu ni Mwana wake wa pekee kwa kuzaliwa, angekuja kuleta Korani inayopinga wokovu na kufundisha Yesu si kitu chochote ila Mwana wa Mariyamu tu! dogima lilelile linalofundishwa na kanisa katoliki. Angalia kwanini wanamwita Yesu mwana wa Mariamu badala ya Mwana Wa Mungu?

Pia Yesu angewezaje kuzaliwa katika Hori la ng’ombe harafu baadaye miaka 600 mbele korani idai Yesu alizaliwa chini ya mtende? Sababu hizi mbili tu zinatosha kufutilia mbali maoni ya korani, ni kama uvumbuzi wa mwanadamu tu na haupatani na mpango wa Mungu wowote ule.
dah mkuu wee dishi limeyumba Yani kabisa tumwabudu mama ake yesu?
 
Naposema kichwa mchunga ujue ni haki yenu. Onyesha wapi alicopy ? Mtu ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika.

Hivyo vitu vilikuwepo wapi mpaka akavicopy ?
Muhammad haku acknowledge kazi za wayahudi yeye kaiba la edit kafanya zake , kafanya Plagiarism

Alitakiwa aje na character wake wapya wa kiarabu yeye anakuja na character tayari walikuwepo na waliandikwa anadai kashushiwa

Kitu kipya Muhammad kashushiwa ni mapepo kuwa ni waislamu
 
Qur'an 17:1
... Mtukufu ni yule aliyembeba mja wake usiku kutoka msikiti Mtakatifu (huko Makka) mpaka msikiti wa mbali zaidi (huko Jerusalem) ambao tumevibariki vilivyo jirani zake ili tumuonyeshe baadhi ya ishara zetu.

Hakika yeye pekee ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kuona
.
 
wee kafran napapa manando kitu mnacho jua
Acha makasiriko, na wewe nakushauri unapo tumia kazi za watu acknowledgement ni muhimu Sana la sivyo unaweza fungwa , engekuwa wakati huu Muhammad angeshapigwa pingu maana kafanya Plagiarism
 
haha angefungwa kwakosa gani hebu weka wazi
 
Back
Top Bottom