Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

na ukristoje?
UKRISTO NI MUNGU KUMTAFUTA MWANADAMU

Yohana 3:16

Neno: Bibilia Takatifu

16 “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

HIZO DINI NYINGINE NI JITIHADA ZA MWANADAMU KUMTAFUTA MUNGU

Ndio Hizi za kujilipua ,kumpigania Allah , Dini za matendo
 
We jamaa unaongea uninga kwani mtu hawezi akaandika hivyo halafu akaweka hayo maneno uliyoanisha ww yaani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mi nikajua unaleta ushahidi wa maana kumbe hizo edit umeziokota wapi sijui ndo unaweka kila sehemu.
Na hii ya Shetani kuwachezea matako nayo nime edit?
FB_IMG_1667719881525.jpg
 
UKRISTO NI MUNGU KUMTAFUTA MWANADAMU

Yohana 3:16

Neno: Bibilia Takatifu

16 “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

HIZO DINI NYINGINE NI JITIHADA ZA MWANADAMU KUMTAFUTA MUNGU

Ndio Hizi za kujilipua ,kumpigania Allah , Dini za matendo
mungu hawezi mtafta mwanadamu Alie muumba mwenyewe.kua naakili
 
mungu hawezi mtafta mwanadamu Alie muumba mwenyewe.kua naakili
Mungu wa waislamu hawezi kumtafuta mwanadamu.
Mungu aliyenenwa na vinywa vya manabii,Mungu wa Yakobo,Mungu wa Abraham,Mungu wa Wakristu anamtafuta mwanadamu.
 
Mungu wa waislamu hawezi kumtafuta mwanadamu.
Mungu aliyenenwa na vinywa vya manabii,Mungu wa Yakobo,Mungu wa Abraham,Mungu wa Wakristu anamtafuta mwanadamu.
sawa subilini munguwenu awatafute. badala yangie
 
Zab 53:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu
Hujathibitisha Mungu yupo.

Na inawezekana wewe ndiye mpumbavu, umefungwa kamba katika upumbavu kwa kuogopa kuitwa mpumbavu kuluko kuogopa upumbavu wenyewe.

Yani, mtu anakupa habari za upumbavu, halafu anakuambia ukizikataa hizi wewe ni mpumbavu.

Na kwa upumbavu wako, unaogopa kuitwa mpumbavu kuliko unavyoogopa kuwa mpumbavu.

Thibitisha Mungu yupo.

Acha longolongo.
 
HAKUNA biblia HAPO MZEE.
Biblia ilikuja baada ya yesu kuondoka.biblia NI muunganiko wa vitabu vingi vya waandishi tofauti tofauti.kwa hyo hata huyo yes hajawahi kuishika biblia Wala kuiona na haijui
Kwa mtazamo wako unaweza kusema hivyo.Labda tukubaliane alivishika baadhi ya vitabu vya mkusanyiko huo wa vitabu vya Biblia mfano alinukuu zaburi na kitabu cha Nabii Isaya na zaidi ya hayo Injili ni maisha na mafundisho ya Yesu .Ni sawa na Muhammad ambavyo hakuwahi kushika quran
 
Zaburi 53:1

Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu!” Wote wamepotoka kabisa, wametenda mambo ya kuchukiza; hakuna hata mmoja atendaye jema.

Wapumbavu wanaongezeka alafu wamejaa jazba.
 
Na hii ya Shetani kuwachezea matako nayo nime edit?View attachment 2408234
Nasemaje uzuri wa uislamu kila kitu kipo kichwani kuna watu wamehifadhi hadithi zote kichwani na kuna watu wamehifadhi msahafu mzima kichwani juzi kati hapa zanzibar walikamata misahafu ambayo imekosewa wakawa wanaitafuta mitaani maana inaeleza tofauti na maandiko yaliyopita hayo mambo mnakaa mna edit huko mnataka muifanye kama bibilia yesu hayupo lakini kila mwaka linakuja edition mpya sijui inatoka wapi na toleo la mwisho mtakuja kuruhusu ushoga hzi propaganda zenu za uongo kwa waislamu hazina nafasi maana maandiko yote yapo kichwani.
 
... Mtukufu ni yule aliyembeba mja wake usiku kutoka msikiti Mtakatifu (huko Makka) mpaka msikiti wa mbali zaidi (huko Jerusalem) ambao tumevibariki vilivyo jirani zake ili tumuonyeshe baadhi ya ishara zetu.

Hakika yeye pekee ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kuona
.
Aliyekuwa anasema Jerusalem haikutajwa basi kwa uchache arejee hiyo aya kuhusu Jerusalem na Msikiti wa Aqsa
 
Aliyekuwa anasema Jerusalem haikutajwa basi kwa uchache arejee hiyo aya kuhusu Jerusalem na Msikiti wa Aqsa
Ila haileti ukweli wowote kwamba Jerusalem ni mahali pa Islam ni uvamizi ndiyo ulifanyika.
 
Aliyekuwa anasema Jerusalem haikutajwa basi kwa uchache arejee hiyo aya kuhusu Jerusalem na Msikiti wa Aqsa
Huoni Kuna mabano hapo? Hayo maneno ya mabano kwenye Quran ya kiarabu hayapo
 
kwenye huu mtanange huyu Kisai anaupiga mwingi.anapiga ngumi za chembe tupu na mitama kwa mbaali.

duh,,!
 
Taurati na kitabu Cha Isaya ni vitabu viwili tofauti, Taurati ni maneno aliyopewa Musa na Mungu Kwa Wana wa Israeli, ila kitabu Cha Isaya ni kitabu Cha unabii ambacho kinaelezea unabii wa Isaya mwana wa Amozi Kwa Wana wa Yuda na Israeli.
Ila mzee una madini, wala hubishani ila unasomesha.
 
Kwa mtazamo wako unaweza kusema hivyo.Labda tukubaliane alivishika baadhi ya vitabu vya mkusanyiko huo wa vitabu vya Biblia mfano alinukuu zaburi na kitabu cha Nabii Isaya na zaidi ya hayo Injili ni maisha na mafundisho ya Yesu .Ni sawa na Muhammad ambavyo hakuwahi kushika quran
Kwani Agano la Kale liliandikwa lini?

Mambo ya Walawi, kitabu cha Hesabu na Kumbukumbu la Torati— vilifikia hali yao ya sasa katika kipindi cha Uajemi ( 538–33KKBC ), na waandishi wao walikuwa watu wa juu sana waliorudi uhamishoni ambao walitawala Hekalu wakati huo
 
Back
Top Bottom