Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa
2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za ving'ora usiku wa manane ving'ora vitakuwa vingi sana
3. Mitandao ya kijamii ilio fungiwa itafunguliwa pasipo taarifa
4.Walio fungwa na kuwekwa vizuwizini kwa sababu ya siasa kuachiwa
4. Wazee wenye heshima kuongea ktk mkutano mzito sanautakao kuwa live.
Basi mjuwe Mungu wenu amewakumbuka ktk sala na maombi yenu. Amen