Walipanga maovu na ndio wanayoyafanya sasa kudhoofisha Serikali

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Ndugu mtanzania kama ulifikiri umafia ulikuwa kule italia tu basi basi ningependa kukuarifu hata Tz upo umafia. Tofauti ya umafia ulitokea kule italia na huu unaendelea kutokea hapa nchini kwetu ni wakati.

Ndugu watanzania msishangae sana kuona haya yanatokea mkafikiri ni serikali yenu inafanya haya ila napenda mjuwe hii ni vita kati ya wana wa Mungu na wana wa shetani.

Hawa jamaa walipo liona jina la mkuu wa sasa wataifa hili hawakufurahi kabisa na kwakuwa majority ya hawa watu wengi wamekuwa ndani ya system walipigana kufa kuona hatokanyaga ikulu maana walijuwa huo ndio utakuwa mwisho wao ktk kunyonya ziwa la mama Tanzania.

Hilikundi ambalo kiufupi lilijianda kwa kipindi kirefu walidhamiria kabisa kuona taifa linaenda kwenye machafuko wao tu wale mema ya nchi. Wakati zaidi ya 39m Tz wakiishi maisha ya dhiki na umasikini.

Hili kundi ambalo kiukweli kabisa ni kundi lakuogofya na lisilo na mapenz mema na utawala wa awamu ya 5 pamoja na taifa kwa ujumla.

Lilitengeneza mtandao wa ajabu sana ambao uwenda haujawahi tokea ktk dunia ya sasa nakama imewahi tokea basi ni kwenye zike nchi hatari kuishi. Hawa jamaa wakiamini wangeweza kufanya taifa lisifike kule lina enda walimwaga pesa mithili ya njugu na kwakuwa pesa mingi walikuwa nayo ilikuwa pesa chafu kuimwaga kwao ilikuwa sio shida.

Why walifanya hivyo majibu tunayo sasa. Walitaka kutengeneza mazingira tunayaona sasa nkiukweli wameweza mpaka wakabuni misemo mingi vyuma vimekaza. Walijuwa hakuna kitu cha bure ila wao wakamwaga pesa jamii ikaona pesa ipo lakini haikuwa uwalisia wakweli japo kwao walijuwa itafika siku watabanwa na hakutakuwa na njia nyingine ila kupiga kelele pesa hakuna na sisi kwakuwa ni wasahaulifu hatujawahi wauliza na zile walizigawa kwenye misikiti na barabarani zimeishia wapi? Nakwanini wanatuaminisha pesa hakuna na sababu ni serikali ya 5. Mwenye akili atakuwa amenielewa.

Walipanga baada ya uchaguzi wangekuwa wakiendelea na mikutano nchi nzima as if bado wanaomba kura kwa uchaguzi 2020. Nia yakufanya hivi ilikuwa nikufanya shughuli za serikali zisimame nakuwalisha sumu wananchi ili wao wafanikishe uovu wao. Nahiki ndio kisa chaserikali kupinga mikutano nchi nzima. Namajibu ya uovu wao nilile tukio lakupigwa risasi Akwilina. Msije kushangaa mkaambia yule kijana alipigwa na risasi ya mmoja wa watu toka kundi lao. Maana nia yao ilikuwa kuchafuwa hali ya amani na kumdhoofisha Mh Rais.

Ndugu mtanzania lipo kundi la wahalifu tena sio wahalifu wakawaida ila wahalifu wakimataifa walifika hapa nchini wakawatengeneza vijana ambao walivaa majoho na kanzu ila nyuma niwahalifu wakubwa sana. Mikono yao inadam. Watu hawa wamejifanya kuwa viongoz na wasemaji ndani ya vyama fulani na nia yao nikujifunika maovu yao ili jamii iwaone ni wema na sio waovu. Hili nalo niukakasi ktk tanzania yetu. Kwa bahati mbaya ubaya wao utalipwa kwa ubaya. Kama vile wamerakani walivyo na msemo wao we do bab thing to bad people. Ndicho kinaendelea.

Ipo miradi milubwa ambayo ilikuwa na ulaji kwa kundi hili nalitaja sasa Gemius wetu pale kitaluni amewazidi maarifa hivyo wakaamua kwenda mjengoni nakurusha mawe nje ili wa tz wamuone Mh Rais nifisadi na ana ajenda ya siri na hapo ndipo bunge likawekwa likizo ktk runinga zetu na watu wafanye kazi.
 
Ukimsikiliza huyhadi mwisho urahisi hicho kilichofanya coment
 
Attachments

  • DIWANI+WA+CHADEMA++ANAYEDAIWA+KUNUNULIWA+AWAJIBU+LEMA+NA+NASSARI.mp4
    7.1 MB · Views: 29
Jeshi lako, bunge mko wengi,majaji wana kadi zenu, watendaji wote wa serikali wenu, bajet mnapangia ikulu, makusanyo mnakusanya wenyewe, chaajabu mkishindwa tekeleza mradi fulani mnalaumu wapinzani wamewakwamisha, sasa sijui wapinzani ndio wanaomiliki akaunt za serikali? au sijui wanawaroga hata hamueleweki
 
Jamaa umetoroka milembe bila shaka wewe nikiranja wao ...huku uraiani umekuja kufuata nini utakuja kuwaambukiza watu uchizi ...mods futeni huo Uzi ""umejaa ujinga mtupu
 
Mwisho wa uchaguzi ni mwanzo wa uchaguzi mwingine

Hali yako ya uchumi unataka uambiwe na mtu mwingine?

Hivi uliandika DAB ataondolewa kabla ya Dec 2017 mwishoni, unajisikiaje sasa?
 
Unafiki na kujipendekeza kisa tumbo ni mbaya sana,
Kwani unaweza kufanya lolote ili mkono uende kinywani,
Even kushikishwa ukuta, watu kama mleta mada wanakula posho ya bure kwa kupost ujinga
 
Ndugu mtanzania kama ulifikiri umafia ulikuwa kule italia tu basi basi ningependa kukuarifu hata Tz upo umafia. Tofauti ya umafia ulitokea kule italia na huu unaendelea kutokea hapa nchini kwetu ni wakati.

Moderator nakuomba usifute thread yangu maan nimedhamiria kumwaga mchuz na ugali wake.

Ndugu watanzania msishangae sana kuona haya yanatokea mkafikiri ni serikali yenu inafanya haya ila napenda mjuwe hii ni vita kati ya wana wa Mungu na wana wa shetani.

Hawa jamaa walipo liona jina la mkuu wa sasa wataifa hili hawakufurahi kabisa na kwakuwa majority ya hawa watu wengi wamekuwa ndani ya system walipigana kufa kuona hatokanyaga ikulu maana walijuwa huo ndio utakuwa mwisho wao ktk kunyonya ziwa la mama Tanzania.

Hilikundi ambalo kiufupi lilijianda kwa kipindi kirefu walidhamiria kabisa kuona taifa linaenda kwenye machafuko wao tu wale mema ya nchi. Wakati zaidi ya 39m Tz wakiishi maisha ya dhiki na umasikini.

Hili kundi ambalo kiukweli kabisa ni kundi lakuogofya na lisilo na mapenz mema na utawala wa awamu ya 5 pamoja na taifa kwa ujumla.

Lilitengeneza mtandao wa ajabu sana ambao uwenda haujawahi tokea ktk dunia ya sasa nakama imewahi tokea basi ni kwenye zike nchi hatari kuishi. Hawa jamaa wakiamini wangeweza kufanya taifa lisifike kule lina enda walimwaga pesa mithili ya njugu na kwakuwa pesa mingi walikuwa nayo ilikuwa pesa chafu kuimwaga kwao ilikuwa sio shida.

Why walifanya hivyo majibu tunayo sasa. Walitaka kutengeneza mazingira tunayaona sasa nkiukweli wameweza mpaka wakabuni misemo mingi vyuma vimekaza. Walijuwa hakuna kitu cha bure ila wao wakamwaga pesa jamii ikaona pesa ipo lakini haikuwa uwalisia wakweli japo kwao walijuwa itafika siku watabanwa na hakutakuwa na njia nyingine ila kupiga kelele pesa hakuna na sisi kwakuwa ni wasahaulifu hatujawahi wauliza na zile walizigawa kwenye misikiti na barabarani zimeishia wapi? Nakwanini wanatuaminisha pesa hakuna na sababu ni serikali ya 5. Mwenye akili atakuwa amenielewa.

Walipanga baada ya uchaguzi wangekuwa wakiendelea na mikutano nchi nzima as if bado wanaomba kura kwa uchaguzi 2020. Nia yakufanya hivi ilikuwa nikufanya shughuli za serikali zisimame nakuwalisha sumu wananchi ili wao wafanikishe uovu wao. Nahiki ndio kisa chaserikali kupinga mikutano nchi nzima. Namajibu ya uovu wao nilile tukio lakupigwa risasi Akwilina. Msije kushangaa mkaambia yule kijana alipigwa na risasi ya mmoja wa watu toka kundi lao. Maana nia yao ilikuwa kuchafuwa hali ya amani na kumdhoofisha Mh Rais.

Ndugu mtanzania lipo kundi la wahalifu tena sio wahalifu wakawaida ila wahalifu wakimataifa walifika hapa nchini wakawatengeneza vijana ambao walivaa majoho na kanzu ila nyuma niwahalifu wakubwa sana. Mikono yao inadam. Watu hawa wamejifanya kuwa viongoz na wasemaji ndani ya vyama fulani na nia yao nikujifunika maovu yao ili jamii iwaone ni wema na sio waovu. Hili nalo niukakasi ktk tanzania yetu. Kwa bahati mbaya ubaya wao utalipwa kwa ubaya. Kama vile wamerakani walivyo na msemo wao we do bab thing to bad people. Ndicho kinaendelea.

Ipo miradi milubwa ambayo ilikuwa na ulaji kwa kundi hili nalitaja sasa Gemius wetu pale kitaluni amewazidi maarifa hivyo wakaamua kwenda mjengoni nakurusha mawe nje ili wa tz wamuone Mh Rais nifisadi na ana ajenda ya siri na hapo ndipo bunge likawekwa likizo ktk runinga zetu na watu wafanye kazi.
Acha uongo ukweli unajulikani chizionje mwenyewe kasema ukimpiga nyoka akakupongoka mtafute wakati mwingine
 
Back
Top Bottom