Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Jibu la haraka, hapo Moniccaaa, mumewe amechepuka sasa anatuletea dongo. Hey, dont judge all men because mumeo ameenda kumvua mwanamke mwingine. By the way, makosa mnasababisha ninyi wenyewe. Ungemtunza mumeo asingechepuka
Na inavyo onyesha mumewe kachepuka na mke wa mtu.
 
Wanawake hamjielewi yani mtu umeolewa still unawavulia pichu wahuni wahuni khaaaaa mnalazimishwa kuvua au inakuaje? We lala tu ukiamka u'l find nacked.....
 
vp tena mzee mwenzangu vzur kula na nduguyo
hivi we mzima...?!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] lioneee
 
Wanawake ndo hatueleweki, mm mtu atanivua vp nguo kama sijamkubalia nasis wanawake tulio olewa, inabid tujiheshim jaman tuache tamaa. Mpende mumeo ulie pewa na Mungu, Mambo yetu yaleeee muwaachie vijana na wao wakikua wataachia wadogo zao.
 
monicca;
Nadhani wengi wamekasirishwa na jinsi ulivyoelemea upande mmoja. Labda ka uzi wako ungesema; Inakuwaje mwanaume unambaka mke wa mtu?? Hapo nadhani ingelikuwa vyepesi sana kujibu. Lakini umesema ati inakuwaje mwanaume unamvua nguo mke wa mtu. Huoni umeonea?? Ni wanaume wangapi wanakutana na wake za watu na wanawapita tu ka umepita gogo flan?? Haiwezekani nimtongoze mwanamke yeyote ambaye yupo siriasi na mambo zake mwenyewe tu. Anaye jiheshimu, mtulivu, asiyepepesa mimacho kila upande na haswa akiyatupa kwangu. Siwezi kumtongoza.
Mwanamke ndiye hujilengesha kwa mtu mume. Wengine hufikia hata kudondosha kitu ili umuokotee huku karembua utadhani ataka kudondoka usingizi. Mwanamke ndiye hujileta kwetu wala si mwanaume kumuendea.
Kama hutaki kusikiliza ngonjera zangu, saa ngapi nitakuingiza gesti?? Usiombe dume ukute una mkweche wako japo wa kusukuma ili uwake, njia nzima ni kurembuliwa tu na kuchekewa hovyo. Mmezidi nyiye wanawake za watu. Jamaa kaandika "Mkanye mkeo, bajaji si yangu". Ameshindwa na madai ya mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom