Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
we umeolewa kwani??
 
Mkuu wanaoongoza kutongoza hovyo ni wanaume za watu, tena na Pete anayo kidoleni. Yaani huwa na nakwazika sana.
kwani kila ukitongozwa lazima ukubali, swala liko kwako wewe mtu mwenye ndoa na unaamua kusaliti viapo vyako
 
Kama umeweza kumtongoza hadi kuingia nae selo iweje ngumu kumvua nguo? Hadi hapo inakuwa imeshakuwa simple.
 
Mjinga hapo ni mwanamke na mianamke ya leo ipo kipesa zaid tuu acha wavuliwe cz hakun namna
 
Anavuliwa tuu!!!
Tena wake za watu ni watu wasio na shida wala usumbufu kabisa, wengi wao huwahitaji vijana, tena wengine hadi shamba boy!!!!!!!!!!!
Sometimes tuseme ukweli tuwe huru,
Tunataka kujifanya watakatifu wakati kila siku tunaungama!!!!

Hili Jambo lipo pande zote mbili!
Jaribu kubalance story
 
Back
Top Bottom