Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

hivi mwanamke unaejielewa na umeolewa unaanzaje kukubali kugegedwa na mwanamme asokua mmeo si uchoko huo. mimi siwezi jilaumu nikimgegeda mke wa mtu kwani kukubali au kukataa ni maamuzi yake, Samahani lakini
That is true
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Kwani kuna wake zawatu wanaotoka nje ya ndoa?

wanaanzaje kuvua sidiria zao
 
Nimejisahau nini mkuu? Mm ni mwanamke mwenye ndoa nimejaribu kuwaza siku nimemkuta mume wangu na mwanamke mwingine.
Aliwazalo m..........ndilo humtokea

Pole lakini kama unapata muda Wa kuwaza negatively
 
Hivi inakuaje mwanamke anatoka na mme wa mtu? Tena anaomba apangiwe nyumba,anunuliwe vitu vya ndani na gari kabisa.
Hivi wanawake mnajielewa kweli? Amna uchungu kwa wanawake wenzenu?
kizuri share na nduguyooo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asante Dada kwa kuona tatizo ila kosa hapa haliko kwa mwanaume anaekuomba namba na kukutongoza labda kama anajua wewe ni mke Wa Fulani .

Pia Mara zote wewe uliyekula kiapo cha kulinda ndoa ndiye unapaswa kuwa makini na hilo suala wala sio huyo mwanaume unayemlaumu hapa labda kama na yeye ana ndoa yake huko.
 
Na wewe kama unajielewa kwamba ni mke wa mtu, ulianzaje kukubari hadi kupeana miadi kama si kutafutana ubaya ni nini?
 
Back
Top Bottom