Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Nakumbuka siku ya ndoa yangu mchungaji alisema, ndoa zina rangi rangi, mara nyekundu, mara nyeupe, etc. Sikumwelewa. Nimekuja kuelewa some years after marriage. Wanawake wengi wanavunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe alafu wanalalamika.
 
Naona wanawake mmesimama kidete si mchezo kwenye uzi huu
 
mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...

kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!

mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Na ndiyo maana Torati ilisema mwanamke "Mzinzi" apigwe mawe mpaka afe"(Ingawa Bwana Yesu alibadilisha hii sheria).

Mwanamke alikuwa anaadhibiwa sababu katika tendo hili la zinaa mpaka lifanyike ni lazima mwanamke akubali kwanza. Lakini kama mwanamke atakataa, inamaana zinaa haitafanyika. Katika tendo la zinaa anayeruhusu lifanyike ni mwanamke mwenyewe. Hii ina maana kwamba kama wanawake wangekuwa wanajitunza na kujiheshimu, dhambi ya "Zinaa" isingekuwapo duniani.

Umenifurahisha sana "geniveros" kwa post yako!
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Na ninyi wanawake akili zenu huwa zinakuwa wapi mpaka ukubali kuvuliwa nguo na mwanaume mwingine wakati unajua fika kuwa wewe ni mke wa mtu mwingine?
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Mtamu sana aisee,maana unakuta mnapeana staili zote mnazokosa katika ndoa.Halafu hawana usumbufu wala vibomu, SMS simu za ajabu hakuna
 
Hii mada imenitia uvivu kuchangia ila ngoja nichangie kwa kuwaz kwa sauti sitaki kupoteza muda kuandika.

Hivi ukitongozwa na mwanaume ambaye ni mume wa mtu huwezi kukataa? Au kama wewe ni mke wa mtu kuna ulazima wa kukubali kuvuliwa hilo teitei lako na mwanaume? Bado nawaza na nimeamua kufikia tamati kwamba mwanamke ndio sumu katika jamii kwa kukubali kuvua chupi kirahisi na kisha kuchanua goli mwanaume yoyote atikise nyavu. Ukubali ukatae ukweli ndio huo na hapo mawazo yangu yameishia hapa.
 
Na mwanamke anaanzaje kukubali na kulainika anapovuliwa nguo. Naje anavua mwenyewe anaanzage wakati anayemvulia siyo mumewe? Tuangalie na upande huo pia
 
Back
Top Bottom