contacts

Google Contacts is Google's contact management tool that is available in its free email service Gmail, as a standalone service, and as a part of Google's business-oriented suite of web apps Google Apps.

View More On Wikipedia.org
  1. Mastamind

    Msaada; Truecaller Inafuta Contacts

    Habari zenyuu,, Hivi karibuni nimekuwa nikiexperience kufutika kwa Namba za Simu nilizokuwa nimesave kwa Truecaller, kila ukisave upya badae hukuti jina ukibahatika unakuta namba tupu kwenye chati za SMS Messenger Shida ni nini hii Wajuvi, Natumia Note 20 Ultra
  2. princ kadur

    Mwenye kufahamu contacts za Puma petrol station Arusha msaada

    Habar wakuu msaada mwenye kufahamu E-mail Ama Namba za simu ya Petrol station za puma hasa Arusha..
  3. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Wakuu amani iwe kwenu! Nime-stack kidogo. Ninataka kuhamisha contacts zangu zilizo kwenye telegram kuja kwenye simu au kwenye Gmail account yangu. Inafanyika vipi? Nimehangaika pasi na mafanikio. Asante.
  4. Kasomi

    WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

    WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts. Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote. Mabadiliko...
  5. Deejay nasmile

    Hata kama nikipata hela hawa mademu mastaa (wanajiita pisi) sitaki hata wazijue contacts zangu

    Yaani sijui ni mitandao na zile filter za apps.ndo zinawapa kiburi na kujiona wazuri, wajanja, watamu, matajiri. Sasa ukikutana nao show show duh, utabaki upaliwe mate kwa kucheka na mshangao....wapo kawaida hatari...ninavosema KAWAIDA naomba nieleweke vizuri..yaani wapo KAWA IDA...kiasi kwamba...
  6. R

    Mwenye contacts za wachina Arusha naomba msaada

    Wakuu natumaini mu wazima. Naomba kwa yeyote mwenye contacts za wafanyabiashara wa kichina au Japan waliopo Arusha anisaidie. Nataka kuangalia products zipi naweza kuwauzia kwa soko la China. Natanguliza shukrani za dhati.
  7. R

    Msaada tafadhali kufanya back up ya contacts zangu toka kwenye simu kwenda google akaunti

    Simu yangu ni Tecno K9. Nataka kufanya back up ya contacts zangu kwenye google akaunti yangu. Nisaidie nafanyaje. Nimesoma google hainipi ninachokitaka. Please assist.
  8. Kidasa

    Nimevuna nazi takriban 8000, natafuta madalali wa nazi soko la Ilala na Temeke Stereo

    Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna dalali ambaye yupo serious tuwasiliane ili tuweze fanya biashara. Thanks
  9. Lizharry

    Je, unatengeza App au website ambayo itahitaji kutuma api sms/ bulk sms / schedule sms/ manage contacts?

    Je, unatengeneza APP au website ambayo itahitaji Bulk SMS / API SMS? Kama wewe ni mmoja wa Developers wa Website au App na ungependa kutumia mfumo wa API SMS/ Bulk SMS, bado hujachelewa hata kidogo. Unachotakiwa kufanya ni kufungua akaunti Bongo Live bure na baada ya kufungua utawekewa sms...
  10. The Sheriff

    Wagonjwa COVID-19 nchini Kenya wafikia 31, serikali yawafuatilia kwa karibu wengine 906

    Idadi ya kesi za coronavirus nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia watu 31 baada ya wagonjwa wengine watatu kupimwa na kukutwa wakiwa na COVID-19. Katika mkutano na waandishi wa habari leo, Katibu Mkuu wa Utawala, Wizara ya Afya, Dk. Mercy Mwangangi amesema wagonjwa hao wapya wote ni wanawake...
  11. Mad Max

    Una namba za simu (contacts) ngapi kwenye Simu yako?

    Wakuu habari, Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima. Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye...
Back
Top Bottom