Una mechi kesho usiku?

Una mechi kesho usiku?

Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili: 3000

Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa:2000

Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga:10,000

Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa:3000

Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote:2000

Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja:10,000

yaani elfu thelathini kujiandaa tu wakati huo ni mshahara wa mfanyakazi wa ndani mkuu upo seriously kweli na maisha!!!
mkuu mimi mwenyewe nilitaka nimpe jibu hilo,hongera zake kwa kufanya hayo.
 
tatizo akina dada nao wamezidi, ukimpa cha afya ki1 wao wanakutangaza mtaani kuwa huwezi kitu, sasa inabidi ukimpata umkomoe ili asikutangaze
 
mnaboost...eh eh eh uko mnakoishi network hakuna?? Yani mzigo ni low connectivity mpaka uweke vocha za kurusha, vocha za kukwangua, mini kabang, uchaji betri, uweke application yooooote ndo network ishike?? sasa si uache wenye 3G H+ tutwange kote kote???????eh eh eh... Mzoea vya kunyonga, akipewa vya kuchinja atakimbiaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Khe mbona kama mipasho ...!?
 
tatizo akina dada nao wamezidi, ukimpa cha afya ki1 wao wanakutangaza mtaani kuwa huwezi kitu, sasa inabidi ukimpata umkomoe ili asikutangaze

nijuavyo mm wadada wanataka vitu vya ukweli, yani upige kwa hisia sio kama unakimbizwa...na ukiweka hisia unaweza hata kwenda 4 bila kuchoka, sasa wengine wanapiga mpaka mzigo uwake moto wanadhani wanaenjoy, woooote wamechokaaa na hamna aliyeenjoy...fanya kwa hisia yani unapigiwa simu, kesho una muda?? au weekend nikutafute? keshanasa eh eh eh!!
 
bosi, sio 'kama' iyo ni mpasho aswaaaaa!! kwani nini ufunge booster kama mziki unatosha???

Hahahahaaaaa hebu ngoja mrembo mmoja ajitokeze kwa hiari yake tujaribu kufanya kwa vitendo tuone
 
Jiandae kwa diet hii
Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili.

Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa.

Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga.

Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa.

Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote.

Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja.

Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange.

loh yoote kumi tisa hii

onja konyagi mix na redbull ..utaipenda msongo wale wa mawazo ni wiki moja mpwa aiitaji game ya kesho

yaani ukionja hiyo wiki nzima unapiga game la maana
 
Back
Top Bottom