Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Hujamaizia hesabu, hapo kwenye mchemsho haiwezi kuwa 2000 labda 5000.
Hiyo mechi kama inachezewa uwanja wa ugenini itakuwa na gharama za kiwanja, kwa viwanja vya kawaida kabisa 30000.
Timu pinzani haitaingia uwanjani moja kwa moja lazima kutakuwa na viburudisho kidogo tuseme kama 10,000.
Kunaweza kuwa na gharama za kuja na kuondoka kwa timu pinzani, hapo weka 20,000
baada ya mechi huwa kuna mgawanyo wa mapato ya pambano hapo kiwango cha chini kiwe 30,000 kutegemeana na aina ya timu.
kwa hiyo kwenye total ongoza 93,000 hapo
30,000 + 93,000=123,000/=
mwingine aongeze expenses ambazo hazijatajwa kwenye hii mechi
Mkuu usijaribu kumtokea miss chagga na mahesabu yako hayo!!!
Last edited by a moderator: