Teheeeee kwa menu hii hata kibamia kitatuna kiwe kama tango!
Jiandae kwa diet hii
Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili.
Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa.
Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga.
Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa.
Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote.
Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja.
Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange.
Mkuu kula like!
hatari sanaJiandae kwa diet hii

Kweli mkuu, wengine tukiona vile vigezo vimetimia basi balaa moja kwa moja. Hasa kile kigezo kikuu...
Hujamaizia hesabu, hapo kwenye mchemsho haiwezi kuwa 2000 labda 5000.
Hiyo mechi kama inachezewa uwanja wa ugenini itakuwa na gharama za kiwanja, kwa viwanja vya kawaida kabisa 30000.
Timu pinzani haitaingia uwanjani moja kwa moja lazima kutakuwa na viburudisho kidogo tuseme kama 10,000.
Kunaweza kuwa na gharama za kuja na kuondoka kwa timu pinzani, hapo weka 20,000
baada ya mechi huwa kuna mgawanyo wa mapato ya pambano hapo kiwango cha chini kiwe 30,000 kutegemeana na aina ya timu.
kwa hiyo kwenye total ongoza 93,000 hapo
30,000 + 93,000=123,000/=
mwingine aongeze expenses ambazo hazijatajwa kwenye hii mechi
mimi nina mechi muda mfupi ujao nafanyaje?
Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange.Jiandae kwa diet hii
Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili.
Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa.
Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga.
Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa.
Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote.
Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja.
Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange.

Mtani ukishindana na ulipotoka utashindwa tu.Unajikomoa kwani unachimba tanzanite?.We mpare juhudi zako kwa hilo ungezigeuzia kwenye kutafuta pesa "Avae" ungekuwa bilionea.Halafu hamna mpare anasema supu huwa mnasema thupu.Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange.![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
ThawaMtani ukishindana na ulipotoka utashindwa tu.Unajikomoa kwani unachimba tanzanite?.We mpare juhudi zako kwa hilo ungezigeuzia kwenye kutafuta pesa "Avae" ungekuwa bilionea.Halafu hamna mpare anasema supu huwa mnasema thupu.