Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili: 3000
Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa:2000
Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga:10,000
Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa:3000
Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote:2000
Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja:10,000
yaani elfu thelathini kujiandaa tu wakati huo ni mshahara wa mfanyakazi wa ndani mkuu upo seriously kweli na maisha!!!