Una mechi kesho usiku?

Kama hujazoea huu mchanyanto wa hii diet sikushauri ujaribu maana lazima utaishia kukaa benchi hata mechi hutocheza.

Glass mbili za juice ya ukwaju lazima utaishia kuharisha tu labda iwe diluted sana karibia kuwa maji.
 

mimi nina mechi muda mfupi ujao nafanyaje?
 

hahahaha
watu wameamua kufanya cost analysis
 

pole sana mkuu....mechi mpaka maandalizi ya masaa 24!!!
 


ahaha hii ni ya wale waliopania

sasa kama una ndoa ndio hiyo diet inabidi uwe unaifata every two days or :A S wink:

Kitambi cha kufikia
 
harafu hii nadhani ni kwa wale wenye nguvu za kiume zisizoeleweka kama gari ya kusukuma:flame:
 
Aiseeee hapo mechi lazima iwe ya kukata na shoka
 
Watu wanashindia biscute lakn fresh tuu labda 7bu ya kiafya tuu ule vizuri ila sio kuwapa bajeti ya kuvuruga bajeti za watu za siku kisa Haburaaaa
 
Kaka umesahau na uvumilivu mana mmmhhh! si mchezo yani Kaka samtym I feel like dah we acha tu Kaka ....ni sheeeedah

I know the feeling!! Sometimes it engulfs with unbearable desires
 
mh unakula hivyo kitambi kitakuacha ?



 
Watu wanashindia biscute lakn fresh tuu labda 7bu ya kiafya tuu ule vizuri ila sio kuwapa bajeti ya kuvuruga bajeti za watu za siku kisa Haburaaaa

Kama huumwi malaria ni vigumu kujua kama inatibiwa na quinine
 
kwa maandalizi haya hii itakuwa ni mechi ya pull table, haihitaji nguvu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…