Una maoni gani kuhusu wanawake wa aina hii?

Kiasi yupo sahihi
Mwanamke ni kheri uchangie ujenzi na vitu tangible hata mkiachana mtagawana
Lakini kamwe usichangie kulisha familia haswa kama kuna ndugu etc familia kubwa hakuna mtu amewahi kusifiwa Au kukumbukwa kwa kulisha ndugu haswa ndugu wa mume hawa mkitengana na mume watakuwa upande wake daima sio ndugu zako
Hio nguvu ni kheri ujenge na kuwezesha kwenu
Mwanamke ishi kwa akili sio kuweka hisia siku yakikukuta utaisha.....
Wananchi wenye hasira kali karibuni mnipopoe
Wewe, yaani familia yako ilale njaa kisa hutaki kuonekana mkosefu wa "akili"? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Maisha ni kile unachochagua, amechagua kuishi namna hiyo kwenye ndoa yake, its her life, let her be, ila sio maisha mazuri wala productive kwangu mimi, in that case hata maendeleo ya familia yatakua magumu sana na anamfanya mwenza anabeba msigo mkubwa sana, kama hata kijiko ukinunua unaomba refund, ni hatati sana, pia ni maisha ambayo yanaweza kuwaathiri watoto kwa kiasi fulani, irresponsible woman will bring up irresponsible kids
Kweli kabisa, yaani mkichangia nyote ndivyo life yenyu inakuwa nyweee! Lakini mtu mmoja awe ndio tegemeo, na sio ati mwenzake ni kilema au ana shida zingine, yupo yupo tu, basi maisha yatakuwa tight na yatasonga kinyonga nyoga vile. Sio advisable kabisa. Two heads are better than one. โœŒ๏ธ
 
Ah wee mbona umepotea kule kwenye knowledge za ukweli?

Ah kwa kweli mbususu has given me memorable moments that i shall take with me to the grave....acha tuu ni starehe namba moja dunia hands down.
Pisi kali muendelee tuu kutupa hizo mbususu zenu.

Alafu u ajua mie nakutamani wacha nikwambie tuu....sasa inakuwaje?
Leo umeamua naona! ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
 
Kiasi yupo sahihi
Mwanamke ni kheri uchangie ujenzi na vitu tangible hata mkiachana mtagawana
Lakini kamwe usichangie kulisha familia haswa kama kuna ndugu etc familia kubwa hakuna mtu amewahi kusifiwa Au kukumbukwa kwa kulisha ndugu haswa ndugu wa mume hawa mkitengana na mume watakuwa upande wake daima sio ndugu zako
Hio nguvu ni kheri ujenge na kuwezesha kwenu
Mwanamke ishi kwa akili sio kuweka hisia siku yakikukuta utaisha.....
Wananchi wenye hasira kali karibuni mnipopoe
Kabla hatujagawana nakuchukua msukule mali zangu ziongezeke
 
Back
Top Bottom