Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,926
Yupo sahihiHabari za jumapili.
Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu.
"kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi hata kuchangia msumari Kwenye ujenzi na siwezi hili swala niliji funzaga tokea nipo binti niliona vile mama yangu alihangaika na ujenzi alafu akaishia kuishi mwanamke mwingine na wanae.
Sinunui chakula wala silipi ada yani ata nikinunua kitu kwa hela yangu naomba refund . Never trust men kabisaa "
Nini maoni yako?