Una kipawa gani?

Me mpaka sasa napata ukakasi ktk kukitambua kipawa changu.
In short bado sielewi vzr nna kipaji gan exactly.
 
Nitajuaje kwamba una kipawa cha ushawishi kweli na si kipawa cha kujipigia debe kwamba una kipawa cha ushawishi?

Unaweza kunishawishi?
 
Nitajuaje kwamba una kipawa cha ushawishi kweli na si kipawa cha kujipigia debe kwamba una kipawa cha ushawishi?

Unaweza kunishawishi?
Siwezi kukushawishi maana umejiandaa kushawishiwa.
 
mkuu Kama mimi
 
Naweza kushawishi ndio na hii ni kazi niliyoifanya kwa muda mrefu naijua vyema.
Ili unishawishi,inabidi unielewe.

Nimeuliza.

Kwa nini unasema nimejiandaa kushawishiwa wakati nahoji uwezo wako wa kushawishi?

Swali langu si "unaweza kunishawishi au huwezi kunishawishi?"

Hili ndilo swali ulilolijibu.

Umejibu swali ambalo sijauliza.

Swali nililouliza ni "Kwa nini unasema nimejiandaa kushawishiwa wakati nahoji uwezo wako wa kushawishi?".

Sio tu hujaweza kunishawishi, hata hujaweza kunielewa.

Utajigamba vipi kwamba una uwezo mkubwa wa ushawishi wakati hata uelewa wako tu unatiliwa shaka na swali dogo tu?
 
Sawa katika vipawa kuna kipawa cha kiburi na ubishi hivi pia ni aina ya vipawa ambavyo nikitaka kushawishi mtu lazima niwe nimekwisha mjua vyema akili yake.

Uwezo wa kushawishi ninao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…