Kama vyoteeeeee!Tanzania ya viwanda
Atajijua.Wewe mama we mbona kuchambana tena??? Hizi mambo tumezoea insta na Facebook vipi huyo unaeshare nae dudu yupo humu?
Mbona unatukana sasa??Wewe mama we mbona kuchambana tena??? Hizi mambo tumezoea insta na Facebook vipi huyo unaeshare nae dudu yupo humu?
Inaonyesha umezaa na mume wa mtu kwa makusudi Dada. Jaribu kumheshimu.Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Unaemteta yupo humu?
Hivi huku ni kuteta kumbe 🤔Unaemteta yupo humu?😦
Kama vyoteeeeee!
Nina raha miye!
Jamani tusi liko wapi hapoMbona unatukana sasa??
Akikujibu mwambie amtag kabisaaa taarabu wengine sio fani yetu..... Sisi tunapenda kuwa wasema kweli kama mzee baba wa magogoniUnaemteta yupo humu?
Huu uzi unaweza sababisha Yale ya gilesiHahaha haaaa aise
Hahahaha yaani huyo mchepuko ana kuumiza mno best huna raha.Kama vyoteeeeee!
Nina raha miye!