Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 16,445
- 52,608
Sina maoni, nimekuja huku kukutafuta wewe na nimekupata 😎 !Kweli aisee sikutegemea kama utakuja huku 😅😅😅 haya leta maoni yako juu ya advance kuwadhidi uwezo diploma
hujasema ukwelikwamba?
Sure Auntie..nina elmu Dunia tuhujasema ukweli
Msomi, hebu kuwa proud bwana 😁Sure Auntie..nina elmu Dunia tu
Najiproud kuwa na elmu Dunia 1st i wanna thank me😄Msomi, hebu kuwa proud bwana 😁
Kwa akili zenu za kulinganisha vituo vya mafuta na uhai wa binadamu. Naomba nisema sitaweza kukujibu.NTA level 4 tangu lini ikawa Diploma ? Kwa akili hizi lazima ulishiriki maandamano
😅 for believing in you or for all the hard work?1st i wanna thank me😄
for believing in me😅 for believing in you or for all the hard work?
for believing in me
We umesema jamboDiploma ni typical specialisation (specialization).
Advanced level secondary education ni almost bado general education hivyo unasoma vitu vingi sana.
Ingawa ni kwenye domain flani ya branch(masomo ya taaluma) tatu tu.
Kwenye diploma unazama ndani zaidi kwenye kitu kimoja na supportive knowledge ya hicho kitu.
Kwa mfano ukisomea civil engineering basi unazama deep kwenye hiyo fani na mambo yanayo kusaidia kwa hiyo fani.
Ila hauwezi kusomea organic au inorganic chemistry kwa undani kama advance. Utafundiswa kidogo chemistry uyaelewe building materials na strength of materials.
Au ukisoma diploma ya computer science utafundiswa kidogo kuhusu mathematics lakini siyo deep kama pure maths ya advance. Ila utafundiswa zaidi kwenye baadhi ya topics za advanced pure maths ya a-level. Utasoma deep kwenye mambo ya computer science zaidi.
TBH , ukiruka advance na kwenda diploma kuna kitu kitapungua. Hata uwezo wa reasoning huwezi kumfikia aliyepiga advance ikiwa wote mlisoma bachelor degree moja. Sema kwenye hiyo fani ya degree kuna vitu wa diploma atakuzidi tu ambavyo degree wana ruka wana assume kwa knowledge uliyopata utajifunza mwenyewe tu.
Sema nini,hauna akili,watu tumefunga solar bila kusoma advance,wewe anaongelea application ya DC current,kwani O - level hawasomi?Kufunga solar hiyo ni application moja ya DC current. Sasa sijui nikikutajia zote sijui inakuwaje.
Jamaa mjinga kiwango cha SGR!Tatizo ni wewe ndo huna akili, hizo elimu zote wala hazina shida.
Kwa hiyo DC current ya O level ndio ya A level.Sema nini,hauna akili,watu tumefunga solar bila kusoma advance,wewe anaongelea application ya DC current,kwani O - level hawasomi?
Primary hawasomi?
Kwenye solar kuna complexity ipi kutumia A_level knowledge?Kwa hiyo DC current ya O level ndio ya A level.
Hata hivyo A level haini rahishi tu kujua kufunga tu. bali kujua technology nzima yaani solar inafanyaje kazi inatengenezwa Je na material gani?. Pia ma battery ya fanyaje kazi na yanaundwaje ndani?. Battery lipi litanifaa na kwa matumizi yapi?. Nitatumia solar ya watt ngapi? Nina matumizi ya watt ngapi?. Nyaya gani nitazitumia ?. Je nitatumia DC au AC haya inverter gani Nitatumia?. Nakama haipo unaweza kudesign.
Wewe hujapita A level najua hilo. Ila mm nimepita A level na huko diploma na kufahamu vizuri. Maarifa mnayosoma mengi huko ni outdated. Hata hivyo mnajikuta mnasoma, engineering na teknolojia bila ya kuijua vizuri sayansi. Ndio maana tunasema mnakariri.
Wewe ni mpumbavu tu,unajifanya mjuaji ila hujui lolote!Kwa hiyo DC current ya O level ndio ya A level.