mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,083
- 4,250
Ni aidha kasoma degree kwanza, au tayari ana degree wewe uliona ikiitwa 'higher diploma' kama baadhi ya vyuo wanavyopenda kuziita, au katumia ujanja fulani.katoka hapa na Diploma kaenda UK kuchukua Masters