Umuhimu wa A level kwangu ni huu

Umuhimu wa A level kwangu ni huu

Unae elewa sana niambie mengine yawezekana nayo yafahamu mimi kuhusu solar energy ni madogo. We sema na wengine wajue maana wenda tunakosa fursa wakati jua African linawakaa kupita kiasi.
Mwaka 2025 nianze kusema najua mambo ya kufunga solar?

Serious?

Kwamba ndio umesomea na kujua theories za hayo mambo sio?
 
Sasa nimeelewa kwanini umeleta uzi wako, tatizo unatumia mfumo wa modular learning na sio full program learning. Japo sijajua huo mfumo ni wa kisasa kwa vyuo vyote vya ufundi ama ni chuo chako pekee. Kwa wale waliosoma vyuo vya ufundi kwa kipindi cha zamani hawawezi kukubaliana na hoja yako kwasababu hakukuwa na room ya kufanya application ya modules bali unalazimika kusoma modules zote na zipo selective. Na mtu anatoka yupo nondo.
Tuuche blablabla hiyo zamani ulisoma mechanical ?
 
Kwani ulileta hoja kuhusu specific diploma au ni general? Una matatizo makubwa sana ya akili wewe.
Haya nenda katika uzi wako nenda ka edit kuwa unaongelea kuhusu Diploma ya mechanical na sio Diploma ya Electrical wala water laboratory, water resource, Hydrogeology and water well drilling, wala Telecommunication.

Unakuja kusema sijui Diploma imefanyaje usikute ulikuwa katika mfumo wa CBET
 
Mm nimekuuliza swali sijaongelea nilivyoandika kwenye Uzi jibu swali ya reply husika ndio au hapana maelezo mengi sijui cbet yote ya nini?
 
A LEVEL imepotezea watu wengi muda na bado ni kirusi

Watoto waende Vocational na Technological Colleges wapambane na Ulimwengu

Sio kukaririshana ujinga🤣
 
A LEVEL imepotezea watu wengi muda na bado ni kirusi

Watoto waende Vocational na Technological Colleges wapambane na Ulimwengu

Sio kukaririshana ujinga[emoji1787]
Watapambana na ulimwengu kwakufundishwa technolojia za mwaka 1950 ulimwengu upi? Huo
 
Tukishazungumzia Technology hakuna hiyo ya Miaka ya 1950, teknolojia ni kitu kinachokuwa kila siku na hakina mipaka ya eneo...mfano ni mapinduzi na matumizi ya Computer, Internet na AI kwasasa

Refer kwa Wahindi na Wachina waliocapture teknolojia ya Massachusets na Silcon Valley huko USA🤣
 
Mm nimekuuliza swali sijaongelea nilivyoandika kwenye Uzi jibu swali ya reply husika ndio au hapana maelezo mengi sijui cbet yote ya nini?
Umeuliza swali kutokana na nilichokielezea kwamba wewe umeamua kusoma Diploma kwa mfumo wa kuunga unga ( umetumia mfumo wa modular learning na sio full program learning) ndio maana unaona mauza uza.

Mimi sikusoma hiyo mechanical, nimesoma Diploma ya Hydrogeology and water well drilling kisha nikaenda bachelor ya Geology. Hatukuwa na huo ulelemama kama huo wa kwako wa kufanya application ya modules bali ni mwendo wa full program learning.
 
Ungesema tu hapana kuna maswali nilitaka kuuliza ili nikuoneshe ubovu uko wapi?
 
Tukishazungumzia Technology hakuna hiyo ya Miaka ya 1950, teknolojia ni kitu kinachokuwa kila siku na hakina mipaka ya eneo...mfano ni mapinduzi na matumizi ya Computer, Internet na AI kwasasa

Refer kwa Wahindi na Wachina waliocapture teknolojia ya Massachusets na Silcon Valley huko USA[emoji1787]
Inakua lakini mitaala haibadiliki na technolojia sanasana inakopiwa kupitia viwanda na miradi mbalimbali kupitia uwekezaji.
 
Ungesema tu hapana kuna maswali nilitaka kuuliza ili nikuoneshe ubovu uko wapi?
Hata kupitia maelezo niliyotoa unaweza kuuliza hayo maswali yako. Nilijua utakuja kukanusha kuwa hukuwa katika usomaji wa kupata Diploma kwa njia ya kuunga unga kwa kuchagua Modules za kusoma. Haujajua tu ubovu upo katika mfumo wako wa usomaji wa hiyo Diploma?
 
Akili zako we jamaa. Nani Alikwambia nilikua nachagua model za kusoma Nilikwambia kuna module nilitaka kuifanyia application ili niweze kupata access ya hizo nyingine. Wewe unaanza kusema kwa ku unga ku unga mara sijui full learning sijui module learning. Mm hata sikuelewi
 
Haujapanuka akili kwasababu akili yako imeishia kwenye vyuo vya aina ya VETA, ukienda DIT, MUST, WDMI ungekuwa na uelewa mpana wa haya mambo. Pole kwa kutema bungo kwa kuishia cheti tu. Degree imeshindikana kwa A-level yako na Diploma nayo imekushinda pia, shida ni wewe mwenyewe hilo unapaswa kulielewa.
 
Kwahiyo nilipoishia nilipokuwa nasoma hadi hiyo NTA level 4 nilikuwa nasoma veta ya nyumbani kwenu. Kuna veta inayofundi NTA level 4 hapa Bongo. Hafu mbona kama unanitambishia hizo degree na diploma kwani umesikia nina shida nazo. Wasomi wa bongo mbwana haya twende na degree ya yako imeisaidia nini jamii yako.
 
Back
Top Bottom