Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,449
- 11,318
Wewe si ndo unajifanya mowa wake kumbe mnaruka wote endapo akuondoka ba mjengo😂😂😂😂Nitakutafuta eneo jengine hapa ameshakuja 😅
Wewe si ndo unajifanya mowa wake kumbe mnaruka wote endapo akuondoka ba mjengo😂😂😂😂Nitakutafuta eneo jengine hapa ameshakuja 😅
Truly , Young generation huwa wanafata Announcement Ila sio Truth.Ndio maana mm nimewaambia ni utapeli mm tu.
Kwa vigezo vya on job training na apprenticeship nikikuolezeshea hapa nahisi nitachoka.Nilisoma diploma ya procurement miaka hiyo nikaajiriwa moja ya warehouse za mgodi x... na mshahara basic ilikua 1.6m bado overtime na dili za hapa na pale
Sasa niambie wewe form 6 liver unaajirika wapi..?
Ukikua utaelewa
Nipo na wewe kila kona ya hii JF, huwezi kunikimbia 🤣 🤣Nitakutafuta eneo jengine hapa ameshakuja 😅
Tutaongea vizuri subir tutakutana Chaka jengine 😅😅😅Wewe si ndo unajifanya mowa wake kumbe mnaruka wote endapo akuondoka ba mjengo😂😂😂😂
Unadhani huyu unamkimbia yeye hadi saa nane usiku yumo jfTutaongea vizuri subir tutakutana Chaka jengine 😅😅😅
Oyaa amka bana utajikojolea hapo form 6 ana onjob training kwa fani ipi aliyonayo acha ujingaKwa vigezo vya on job training na apprenticeship nikikuolezeshea hapa nahisi nitachoka.
Kweli aisee sikutegemea kama utakuja huku 😅😅😅 haya leta maoni yako juu ya advance kuwadhidi uwezo diplomaNiko na wewe kila kona ya hii JF, huwezi kunikimbia 🤣 🤣
Kuna machaka hawezi kuwepo we tulia nitakuita huko 😅😅😅Unadhani huyu unamkimbia yeye hadi saa nane usiku yumo jf
Jina langu unalielewa kweli? Kama unaliewa uhakikaKuna machaka hawezi kuwepo we tulia nitakuita huko 😅😅😅
Kuna watu niliwaambia kunako elekea kuna siku mbogamboga watachallenjiwa na madogo wa form one watu wakabisha.Truly , Young generation huwa wanafata Announcement Ila sio Truth.
Wakisia kitu kimeingia wanafata
Kuna jamaa yangu amesoma degree ya ualimu wa Early childhood akijua anasoma jambo la maana kumbe that was another Motherfucker anasomea.
Some degree , diploma n.k hasa hapa Tanzania zilianzishwa in business wise na sio ku respond mahitaji ya jamii.
The same watu wanavyo-brag kusoma Science anapoteza miaka mitano kusoma theory ambazo zinakuwa replaced na technology.
Kwa sasa mtoto wa miaka 15 anaweza kuandika thesis ya PhD
Kupitia technology .
La kawaida hili nitakuita mkuuJina langu unalielewa kweli? Kama unaliewa uhakika
Kuwadhidi???Kweli aisee sikutegemea kama utakuja huku 😅😅😅 haya leta maoni yako juu ya advance kuwadhidi uwezo diploma
Si ndiyo mtoa mada anachomaanishaKuwadhidi???
Hatwri kweli kweliii🔥🔥Si ndiyo mtoa mada anachomaanisha
Kama huelewi on job training basi nitumie apprenticeship.Oyaa amka bana utajikojolea hapo form 6 ana onjob training kwa fani ipi aliyonayo acha ujinga
Mboga mboga ndo akina nani hao mkuu 😁Kuna watu niliwaambia kunako elekea kuna siku mbogamboga watachallenjiwa na madogo wa form one watu wakabisha.
Sina elimu yoyote AuntieAcha basi 🤣
Haya sema wewe high IQ A-level ulisomea nini?
sisi MMboga mboga ndo akina nani hao mkuu [emoji16]