Umuhimu wa A level kwangu ni huu

Umuhimu wa A level kwangu ni huu

5. Kutatua Matatizo mapya au uvumbuzi haiitaji maneno maneno Mkuu ni practical experience.
Yani ukae tu kwenye kiti alafu u solve mambo ???

Hapa Tanzania Kama u me some a hapa hakuna utaalamu wowote unaweza ukawa nao ambao competitive.

Ndo maana degree Holder Viwandani , viwanda vikubwa wanalamba 700K -800K

Na wapo wachache

Kwanini Science au technology ukiwa the owner wewe ndo unafaidika Sana

Mfano nimeona madogo wanaambizana kusoma( AI )

Ila wakimaliza wanaenda Kuwa Jobless AGAIN

Means technology inamfaidisha the owner

Mfano Bakhressa kupitia AI ataweza kupunguza Accountants

Atapunguza watu sales and marketing.

N.k

Hivyo badala ya kuangaika kusoma science uchwara ni bora utafute skills za Ku-run Kazi zako

Viwanda vinanunua machines za kubonyeza , kupima u bora n.k

Yaani ndo unakuta kozi hiyo uliisomea chuo miaka 4 n.k

Sasa inakuwa replaced.

Kwahiyo kusoma technology is important Ila kuimiliki ndo kila kitu.
 
mshamba_mwingine
 
Sasa ni ndani au??? Hivi kichwani kwako kuna matope au?? Naona upo kiushabiki zaidi.
Mfano tu wapo wengi waliosoma clinical medicine wameenda kusoma bachelor nje ya Africa.

Kwaheri
Tukisema 'kusoma nje' tunamaanisha umeenda kutafuta fursa kubwa ulaya na marekani huko. Sio Kenya na India ambapo ni hadhi sawa na hapa.
 
Nilisoma diploma ya procurement miaka hiyo nikaajiriwa moja ya warehouse za mgodi x... na mshahara basic ilikua 1.6m bado overtime na dili za hapa na pale

Sasa niambie wewe form 6 liver unaajirika wapi..?

Ukikua utaelewa
 
Hapa Tanzania Kama u me some a hapa hakuna utaalamu wowote unaweza ukawa nao ambao competitive.

Ndo maana degree Holder Viwandani , viwanda vikubwa wanalamba 700K -800K

Na wapo wachache

Kwanini Science au technology ukiwa the owner wewe ndo unafaidika Sana

Mfano nimeona madogo wanaambizana kusoma( AI )

Ila wakimaliza wanaenda Kuwa Jobless AGAIN

Means technology inamfaidisha the owner

Mfano Bakhressa kupitia AI ataweza kupunguza Accountants

Atapunguza watu sales and marketing.

N.k

Hivyo badala ya kuangaika kusoma science uchwara ni bora utafute skills za Ku-run Kazi zako

Viwanda vinanunua machines za kubonyeza , kupima u bora n.k

Yaani ndo unakuta kozi hiyo uliisomea chuo miaka 4 n.k

Sasa inakuwa replaced.

Kwahiyo kusoma technology is important Ila kuimiliki ndo kila kitu.
Ndio maana mm nimewaambia ni utapeli mm tu.
 
Back
Top Bottom