Umuhimu wa A level kwangu ni huu

Umuhimu wa A level kwangu ni huu

Bob mbona unadharau sana unanijua lakini.
Nikujue wa nini?

Si umesema sijapita A - level?

Maana yake wewe unanijua,basi tulia,endelea kujijaza upumbavu.

Huwezi kupotosha suala sensitive kama elimu,au kuanza kudanganya ufungaji solar eti unatumia complex theory za A - level,huu ni upumbavu kiwango cha PhD.
 
Mm nimekwambia A level haini saidi tu kujua kufunga Solar inanifanya nijue technolojia nzima nyuma ya solar.
A - level mtaala upi uko na haya usemayo?
Pia,unadhani mtu hadi afike A - level ndio aelewe hizo mambo?

Wewe ukiwa na uelewa mdogo au limited access kupata taarifa/maarifa sio wote.

Nakuhakikishia,mimi kuna mambo nimejua hata kabla sijafika chuo,sio A -level.
 
Nikujue wa nini?

Si umesema sijapita A - level?

Maana yake wewe unanijua,basi tulia,endelea kujijaza upumbavu.

Huwezi kupotosha suala sensitive kama elimu,au kuanza kudanganya ufungaji solar eti unatumia complex theory za A - level,huu ni upumbavu kiwango cha PhD.
Makasiriko yako yamenifanya nijue hujapita A level
 
Wewe ni mpumbavu tu,unajifanya mjuaji ila hujui lolote!

Nakuuliza tena,kwenye solar kuna complexity gani hadi ufike A-level ndio uweze kuifanya?

Kuhusu kupita A - level,mimi hunishindi lolote,hakuna elimu sijapita au kuifanya hapa Tanzania.

Wewe endelea kuandika ujinga tu.

Unasema issue za solar,batteries,wattage,kuna nini kipya Hadi ufike A - level kujua?

Unaongelea A - level,wakati watu tumesoma hadi elimu za nje,na tumefanya kazi lab zao,na hatuna mambo mengi.

Wewe kufeli A - level na kurud diploma,ndio tatizo.

Huwezi kusema A - level uko vizuri kwenye theories eti diploma hawasomi.

Una shida.
Huyu inaonekana Diploma yenyewe alishindwa kuikamilisha kafeli kwa kuishia NTA level 4 ndio maana makasiriko ni mengi. Na hata katika uzi wake kasema kasoma NTA level 4 sasa kipi kilimfanya aishie certificate badala ya kumalizia hadi Diploma?
 
A - level mtaala upi uko na haya usemayo?
Pia,unadhani mtu hadi afike A - level ndio aelewe hizo mambo?

Wewe ukiwa na uelewa mdogo au limited access kupata taarifa/maarifa sio wote.

Nakuhakikishia,mimi kuna mambo nimejua hata kabla sijafika chuo,sio A -level.
Maarifa yapi? Kwa hiyo huelewi kuwa solar panel inafanya kazi kupitia photo- electric effect na inafanikishwa kupitia photo- diode inayotengenezwa na silicon kutoka kwenye mchanga ambapo hiyo ndio basic ya solar panel. Au huko A level kwenu walikuwa hawafundishi.
 
Huyu inaonekana Diploma yenyewe alishindwa kuikamilisha kafeli kwa kuishia NTA level 4 ndio maana makasiriko ni mengi. Na hata katika uzi wake kasema kasoma NTA level 4 sasa kipi kilimfanya aishie certificate badala ya kumalizia hadi Diploma?
Makasiriko yapi mzee uzuri karatasi lipo la NTA level 4 lipo. Na kuna module nilitaka kuifanyia application nikaelewa kuwa nimepigwa ilibidi nirudi elimu Ya A level kwa msaada wa juu.
 
Makasiriko yapi mzee uzuri karatasi lipo la NTA level 4 lipo. Na kuna course nilitaka kuifanyia application nikaelewa kuwa nimepigwa ilibidi nirudi elimu Ya A level kwa msaada wa juu.
Course ipi?
Ulikuwa una somea kitu gani?
Na kwa sentensi hii uliyotoa "kuna course nilitaka kuifanyia application" inamaana ulikuwa unataka kusoma Diploma kwa njia ya kuunga unga kama Waziri wako Wanu.
Tuanzie kwanza katika mzizi mkuu kwa kujibu hayo maswali kabla ya kuhitimisha Diploma vs A level.
 
Makasiriko yako yamenifanya nijue hujapita A level

Maarifa yapi? Kwa hiyo huelewi kuwa solar panel inafanya kazi kupitia photo- electric effect na inafanikishwa kupitia photo- diode inayotengenezwa na silicon kutoka kwenye mchanga ambapo hiyo ndio basic ya solar panel. Au huko A level kwenu walikuwa hawafundishi.
Serious unaandika haya kuwa nae ni mambo ya kujadili?

Nani hajui?

Dah.

Una uelewa mdogo sana wa mambo na hujui hilo.
 
Course ipi?
Ulikuwa una somea kitu gani?
Na kwa sentensi hii uliyotoa "kuna course nilitaka kuifanyia application" inamaana ulikuwa unataka kusoma Diploma kwa njia ya kuunga unga kama Waziri wako Wanu.
Tuanzie kwanza katika mzizi mkuu kwa kujibu hayo maswali kabla ya kuhitimisha Diploma vs A level.
Ni module sio course nimekosea
 
Serious unaandika haya kuwa nae ni mambo ya kujadili?

Nani hajui?

Dah.

Una uelewa mdogo sana wa mambo na hujui hilo.
Unae elewa sana niambie mengine yawezekana nayo yafahamu mimi kuhusu solar energy ni madogo. We sema na wengine wajue maana wenda tunakosa fursa wakati jua African linawakaa kupita kiasi.
 
Ni module sio course nimekosea
Haya tufanye ni module sawa umekosea. Bado maswali yangu yapo pale pale.

1) ulikuwa unasoma course gani?
2) hiyo Module ilikuwa module ipi?
3) Ulifanya application ya module kwa mfumo wa work based learning au kwa modular learning?
 
Mechanical

Nilitaka kufanyia kazi module ya workshop technology kipengele material science
 
Sasa nimeelewa kwanini umeleta uzi wako, tatizo unatumia mfumo wa modular learning na sio full program learning ndio maana.
 
Back
Top Bottom