Umuhimu wa A level kwangu ni huu

Umuhimu wa A level kwangu ni huu

Kwahiyo nilipoishia nilipokuwa nasoma hadi hiyo NTA level 4 nilikuwa nasoma veta ya nyumbani kwenu. Kuna veta inayofundi NTA level 4 hapa Bongo. Hafu mbona kama unanitambishia hizo degree na diploma kwani umesikia nina shida nazo. Wasomi wa bongo mbwana haya twende na degree ya yako imeisaidia nini jamii yako.
Kama hauna shida nazo kwanini umefungua uzi wa makasiriko na malalamiko kuhusu Diploma? Basi hongera kwa kuacha kuendelea kusoma Diploma (kuishia ngazi ya cheti) na kubakia na A-level, una akili nyingi sana hakika. Maana uzi mzima umeshambuliwa wewe tu na kila mtu na kisha mwenyewe unajiona bonge la Genius kuliko wote.

Basi mkuu tumalize mjadala wewe uliyeshindwa kuendelea na Diploma na kuishia na A-level yako ni Genius. Humu tunatumia fake ID hivyo tusilazimishane kujuana nimefanya yapi kwa jamii ila jamii inayonijua wanapata manufaa ya elimu na maarifa yangu pole kwako wewe uliyeona Diploma haitokuwa na msaada kwako katika maarifa.

Kwaheri
 
Watu wa diploma mpo wengi na mnashambulia hatar
 
Back
Top Bottom