Tatizo uongo kwa hao dada zetu umezidiWakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?
Je, ni halali kwa mtu yeyote asiyesema ukweli kusimama kama alama ya Tanzania sehemu yoyote!?Kwenye swala la umri kwa dada zetu unajisumbua mkuu hawawezi kusema ukweli hata siku moja kiufupi wamekula kiapo na wamekunywa maji ya bendera hao kusema umri wao halisi ni MWIKO
Hakuna familia inayo ongozwa na mwanamke labda awe MJANEJe, ni halali kwa mtu yeyote asiyesema ukweli kusimama kama alama ya Tanzania sehemu yoyote!?
Kwahiyo mwakani atakuwa na miaka 17?Wanahesabu kinyumenyume pia wanachanganya ule muda wakiwa tumboni enzi zamimba
Jamii forum ktk ubora wake. Ha ha ha ha ha ha mbona miaka 18Wakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?
Wanahesabu kinyumenyume pia wanachanganya ule muda wakiwa tumboni enzi zamimba