Ni upi umri sahihi kwa mwanamke kupata mtoto wa kwanza

ms emmaa

Senior Member
Jun 13, 2023
119
207
JF ningependa kujua,

Hivi umri sahihi kwa mwanamke kushika ujauzito na kupata mtoto wa kwanza ni upi?

Hebu tuambiane.
 
Back
Top Bottom