Umri sahihi wa miss Tanzania 2016 ni upi?

Kwenye swala la umri kwa dada zetu unajisumbua mkuu hawawezi kusema ukweli hata siku moja kiufupi wamekula kiapo na wamekunywa maji ya bendera hao kusema umri wao halisi ni MWIKO
Je, ni halali kwa mtu yeyote asiyesema ukweli kusimama kama alama ya Tanzania sehemu yoyote!?
 
Duh...
kama ni ya kweli haya inabidi waandaaji wote wahakikiwe!!
Labda ziwe chokochoko tu!!
Mengi yataibuka hapa, reference yule aliyevuliwa taji!!
 
Wakuu habari za mchana nimeona mahali kuwa miss tanzania mpya ana miaka 18 na wakati huo huo tayari ana degree moja hii ni kuwa alianza form one akiwa na miaka 9 mpaka kuja kugraduate ukweli ni upi?
Jamii forum ktk ubora wake. Ha ha ha ha ha ha mbona miaka 18
 
Back
Top Bottom