Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

Ummy ana mhaho saivi hajui future yake ikoje.

Alimbushwe kulikuwa na akina shamsa mwangunga, maua daftari, Sophia Simba, Ana Abdallah, mwantumu mahiza, Ritha Mlaki na the like.

Kama vipi apumzike. Sio lazima aendelee kuwa Waziri ubunge unamtosha

Wako wenye uwezo zaidi yake tena wenye fani husika katika sekta anayosimamia.

Sio kwa sababu ni mwanamke, Bali uwezo Hana tena apumzike.
 
Kosa ni kutumia handle ya wizara ya Afya kwa jambo lake binafsi
Kama umesoma hiyo taarifa, alikuwa ana mwakilisha Mhe. Rais kwenye tukio la Dini.

Ni obvious angeongelea mambo ya Dini, kama unajua hao wenzetu wa Upande wa pili wapo radhi Watoto wao wasiende Kusoma Tuitions lakini waende Madrasa.

Ndiyo maana huyo Waziri wa Afya ameegemea upande huo as ni kitu ambacho wenye shughuli yao walipenda wasikie Jambo hilo.
 
Mimi pia napendekeza wimbo wetu wa Taifa uimbwe kwa mfumo wa Kaswida upigiwe na ala na waimbaji waghani.

Badala ya ...Mungu ibariki...iwe Allah ibariki Zanjibaria...
 
Waziri Ummy Mwalimu kwa siku hiyo alimwakilisha Rais katika hafla hiyo, Ujumbe mahususi wa Rais Dkt. Samia ulikuwa ni huo wa dini. Hata hivyo Waziri Ummy Mwalimu alitumia fursa hiyo kuhabarisha umma ulioshiriki kuhusu masuala mbalimbali ya afya ikiwemo kuzingatia mtindo bora wa maisha ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza.
 
Kwan amehamasisha ugaidi? Wakiongezeka waislamu magaidi wewe usiye mwislamu unapata hasara gani?
 
Back
Top Bottom