Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

36 -37 hivi - miaka ya raha sana hiyo, nina sababu nyingi sana za kutamani kurudi hapo!

Vimvi vimeanza ila nikienda kusuka nawaambia wavichomoe maana vimeanzia katikati ya kichwa 😂😂😂

Kupunguza uzito, kunywa maji sana,
Tahadhari: Unywaji mwingi wa maji unaweza kukusababishia Water Intoxication kitu ambacho ni Hatari kiafya.
kula high fiber food na balanced diet kwa ujumla, gym mara 2 kwa wiki kumantain healthy muscles.

Kuzeeka hakukwepeki, tunasogeza muda tu maana inside bado we feel young.

Hapana nisingechagua, nikifikisha 70 nikavuta 🪦nitashukuru, sitaki kutembelea mkongojo!

Tumekaribia 😅
 
Google kaandika jamaa alikua
Spanish explorer anaitwa Juan Ponce karne ya 16..

But yo kuna nadharia zinafundisha namna ya kua kijana milele,mwili unazeeka but moyo wa kijana na akili za kijana,.anza kujifunza kitu kinaitwa Good Stress.
Thank you 🤗🤗
Nitapitia kesho nina muda 👌
 
Nimewahi kuangalia movies tofauti tofauti za watu wanaobaki na umri ule ule uku wengine wakizeeka wanabaki hivyo miaka hawafi basi huwa wanachoka Sana wanafika mahali wanatamani na wao kufa hata watu kawaida wakishazeeka Sana wanachoka kuishi wanakua wanatamani kufa tu so Mimi naona kifo sio kitu kibaya ila ufe ukiwa tayari
 
Usijiue sasa nimetolea mfano tu bado tunakupenda, ila ukiondoka itakuwa poa nije nijibebe mwanao yule Binti kiroho safi,
Mwenzako bado sana nipo.

Kuna celeb mmoja alishaniletea shida sababu imetokea tunafanana lakini yeye ana maisha mengine na mimi mengine kabisa!!! ipo siku nitafungua uzi.

Binti yangu bila kuwa na ukwasi humpati na usipokuwa na akili za future use utamskia BBC.
 
Kama unajiamini nikutanishe nae au Fanya nimjue tu sura ili nikuoneshe nguvu ya maneno matamu kwa totoz
 
Nimewahi kuangalia movies tofauti tofauti za watu wanaobaki na umri ule ule uku wengine wakizeeka wanabaki hivyo miaka hawafi basi huwa wanachoka Sana wanafika mahali wanatamani na wao kufa hata watu kawaida wakishazeeka Sana wanachoka kuishi wanakua wanatamani kufa tu so Mimi naona kifo sio kitu kibaya ila ufe ukiwa tayari
Natamani kuwe na sehemu ya voice
Sijaongelea kifo mbona jamani
 
Back
Top Bottom