Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Una hali gani mkuu?
FB_IMG_1791689051329.jpg
Timu za Kariakoo huwa hazinikoseshi usingizi.

Hizi ni timu za Propaganda za Ccm, haya kafuatilie original post wanaomtukanaga Mama utashangaa leo matusi yameishia wapi?
 
View attachment 3688305Timu za Kariakoo huwa hazinikoseshi usingizi.

Hizi ni timu za Propaganda za Ccm, haya kafuatilie original post wanaomtukanaga Mama utashangaa leo matusi yameishia wapi?
Hilo liko wazi wala sipingi kabisa
Huyu mama yako anajua kujipenyeza anajua watu walivyo wa nazi wa hizi team na yeye anajichomeka apate kuzungumziwa

Ukienda kuangalia post yake alivyompongeza miss grand utachoka🙌🏼🙌🏼
 
Ukitaka uwe na muonekano wa ujana mfuatilie uyo jamaa apo chini, yeye ni mfano mzuri
 

Attachments

  • Screenshot_20261011-131058.jpg
    Screenshot_20261011-131058.jpg
    294.8 KB · Views: 1
FOREVER YOUNG 🥹

Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Mimi natamani forever niwe young

Lakini je ni kwamba tunaogopa kuzeeka au tunaogopa kua wa dhaifu kutokana na uzee ?

Kipindi cha nyuma nilikuwa najiona mtoto au kijana, lakini sasa naanza kutambua kwamba siku za mbele, uhai ukiwepo, nitakuwa mzee

Na fikiria kama nikiwa mzee nitakua na nguvu kweli au itabidi nisaidiwe baadhi ya mambo ambayo kwa sasa nayamudu mwenyewe bila kuitaji msaada

Zamani nikiona mtu ana miaka 30 nilihisi ni mtu aliyezaliwa zamani sana
Leo hii nimebakiza ngazi chache kuingia floor ya 3, yaani miaka 30!
Nafikiria muda umekimbia hivi lini?

Hivi tunatamani kua young forever
Au tunauhofia uzee na kashkash zake😢

Maana uzee unakuja na mengi
Sote tunaona kijana na mzee wanatofautiana vingi sana

Ukiwa mzee na kama hukua mtu wa kuzingatia mazoezi na chakula cha afya enzi za ujana wako uzee unakua ni mateso

Haya hapa ni miongoni mwa magonjwa yanayoweza kuwapata wazee

Na haina maana vijana hayawapati magonjwa haya

Na pia sio kila mzee hupata haya magonjwa
👇

Presha, kisukari, magonjwa ya moyo, Tezi dume kwa wanaume
maumivu ya viungoo, udhaifu wa mifupa matatizo ya kuona na kusikia pamoja na matatizo ya kumbukumbu


Kwenye mjadala👇

1. Kama ungepewa nafasi ya kubaki na umri mmoja milele, ungechagua miaka mingapi, na kwa nini?

2. Unajisikiaje unapojiangalia kwenye kioo na kuona mabadiliko ya umri?
Mvi zikianza kuota, utazikubali (Unazikubali )au utapambana nazo kwa Super Black na kunyoa upara?

3. Unafanya nini ili kudumisha muonekano na afya yako?
Gym, skincare, kula vizuri ?

4. Unaogopa kuzeeka kwa sababu ya kupoteza ujana na nguvu, au unaona ni sehemu ya kawaida ya maisha?

5. Kama ungekuwa na option ya kubaki kijana milele ungechagua kutokuzeeka?


Karibuni Great Thinkers🤗

ShesRise_1 ✋️
Ili nguvu ya ile mechi isipungue.
 
Nimecheka dah ukizeeka bila hela mchawi 😅😅🙌🏼
Jitahidi kujiwekeza mngali vijana, mkifika Uzeeni huna noti, ni rahisi kuitwa Mchawi

Na haya macho yetu mekundu ya ku-smoke Kiko, hawatachelewa kukuwasha moto kwa tuhuma za uchawi 🙌
 
Back
Top Bottom